Usijiumize

Usijiumize

muluvigwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
263
Reaction score
84
Habar za j pili wakuu...naanza hivi Kama huwez kumuacha mumeo au mkeo basi usimchunguze CMU yake Leo siku ya Tatu mke wa jirani yangu anaishi kwa sononeko moyoni....ishu ilikuwa hivi alichukuwa simu ya mumewe akaseti SMS anazotuma mumewe zibaki ktk simu bwanaweee mtego wake ukanasa mke kaona mawasiliano ya mumewe na madem kama wa5 hivi tofauti na inaonesha jamaa kashapitia wote na wanahadisiana mautam...mke kuondoka hawez amebaki na kisununu tu moyoni sijui sakata hili litaishaje...but jaman ukimchunguza sn bata hutamla tukome tabia hii ya kupekuana jaman
 
Hapa nilipo nahangaika kusolve kesi ya rafiki yangu na mkewee....

Jamaa kaghafirika mkewe kupekua simu yake, mkewe nae kaja juu...,

Kibaya mkewe alichukua namba ya boss wa jamaa ambae ni mama mtu mzima anakaribia kustaafu na kuanza kumporomoshea matusi kwanini kila akiingia kwenye recent call anakuta kawasiliana na mumewee....

Kilichofuata, jamaa kamwambia aende kwao huko usukumani kwa miezi miwili ili apumzikee....

Sasa ndio nimepewa kazi ya kumwombwa jamaa abadili msimamoo...

Ukimwangalia dada mwenyewe, wivu umezidi aisee, sura hana, nafikiri anahofia mchizi vaada ya kupata kazi anaweza beba chuma kingine kikali zaidi yale.....

Na kiukweli mchizi anaonekana kujuta kumjua huyu manzi, mana ndo dem wake wa kwanza kumjua na kumtoa ushamba kitandani....

Sasa pesa ipo, mke sura nyani, akitucheki wana tuna toto kali....

Mi nimejaribu kumsihi amsamehee, naambiwa Mangi ukitaka nitakupa huyu mke uishi nae wewe mana unamtetea sana....

Nimekacha.
 
Alikuja kuomba ushauri kwa siri akidai mmewake kila siku hurud usiku wa manane. Akiwahi sana kurudi basi saa 4 usiku. Ni akitoka mazini saa kumi anaunga hukohuko. Alipomchunguza akagundua ana vimada wanne wakiwemo wake za watu wawili. Na amezaa na kimada mmojawapo kati ya wawili wasio wake za watu.

Nikamshauri amwulize na amweleze kuwa anajua yote afanyayo aone kama atajirekebisha, lakini hakubadilika.

Tulipokutana mara ya pili nimshauri nikamshauri aamue kuachana nae au avumilie hali hiyo. Alikubali kuvumilia kwa kuwa akiondoka wanawe watateseka kuishi na mama wa kambo.

Alichokifanya huyu mwanamke sasa, katafuta na yeye mtu wake.

Mytake: kushauri ndoa ni jambo gumu sana kwa mshauri. Ni lazima wanandoa wenyewe wawe tayari kubadilika na kuvumiliana kwa dhati kabisa. Uamuzi wa kumrudisha au kuondoka katika ndoa si suluhisho jema. Suluhu njema ni kila mmoja kubadilka kosa alilofanya na kuanza maisha mapya.
 
Aise

Ukimwangalia dada mwenyewe, wivu umezidi aisee, sura hana,

Kwel kabisa
 
Back
Top Bottom