Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,711
Haijalishi una umri gani lakini muda mwafaka wa msichana kuolewa ni kati ya miaka 20 hadi 25
Achana na dhana potofu za kimapenzi eti sijui hawajui nini?
Faida zake ni kama zifuatazo
1. Ndio umri ambao msichana anaweza kuzaa watoto wenye afya nzuri
2. Ndio umri ambao msichana anafundishika na anaweza jengeka kimaono zaidi.
3. Ndio umri ambao msichana ana kua bado mtii na msikivu!!
4. Ndio umri ambao msichana anafurahia mahusiano..
5. Ndio umri ambao msichana anaona upweke kuwaacha wazazi hivyo kumpata mume inakua faraja kwake na mume anapewa nafasi ya kwanza.
Wasichana above 30 ni wazuri wanakua wameruka mishale mingi lakini huwezi kuwanyosha.
Hivyo wale 38+ wasiogope kuchukua hawa 20 to 25.