NANI BINGWA WA TAMAA KATI YA MWANAUME v/s MWANAMKE?

Akili Pesa

JF-Expert Member
Jun 18, 2014
616
854
Wadau nimekaa sehemu nikawa naenjoy life lkn kuna namna nliyokuwa naona maisha ya binadamu mwenzangu nikashihudia wake za watu wakiwa na michepuko yao, pia nikaona Wababa wakiwa na michepuko yao ndio swali likanijia hv.
Kati ya mwanaume na mwanamke nani ana tamaa kumzidi mwenzake??
Tuzingatie mwanamke hutongozwa au kushawishiwa na mwanaume.

Kila jinsia ijitetee hpa tupate majibu?Tupeane details za kutosha hpa.
 
Sehemu ambayo mwanaume ana tamaa ni kwenye ngono tu

Ila wanawake wana tamaa ya kika kitu
1.Uzuri
2.Weledi
3.Mali
4.Uongozi
5.Utashi
6.Na wengine hadi ngono

Sema kwenye tamaa za nn, ungespecify hapo sawa
 
Back
Top Bottom