Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama kuna kungwi humu au kuna mtu anayefahamiana na makungwi naomba anipatie mawasiliano yake.
0 Reactions
39 Replies
5K Views
The word "Eden" is an Hebrew word for "where God dwells", so the first thing God gave man was "His Presence". (1)So the first thing a man needs is NOT a woman; it is the presence of God, and a...
12 Reactions
69 Replies
5K Views
Kama heading inavyoeleza nina mpango wa kufikisha wiki(siku 7) bila kufanya mapenzi, Tayari leo nimetimiza siku ya 2 pili bado siku 5 tu nifikishe wiki, Changamoto ninayoiona mpaka sasa ni moja...
5 Reactions
68 Replies
5K Views
Wakuu Leo zitambue tofauti za kitabia Kati ya mwanaume na mwanamke hizi hapa chini Mwanamke hawezi kukupenda bila sababu ya msingi Wana sababu za kukunok, lakini mwanaume yeye ni kiumbe cha Ajabu...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Nina miaka 35 mkristu wa madhehebu ya RC. Nina mtoto mmoja wa kike 7 aged na naishi IRINGA. Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo . Awe mkristo wa dhehebu lolote ila kama ni islamic asiadhiri maisha...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwenye wimbo wako wa Ninogeshe kuna maneno yanayosema 'Ukizikwa nizikwe na wewe ' ..'Nikizikwa uzikwe na mie'..mbona hatukuona utekelezaji wake wakati wa tukio la karibuni? Au ulikuwa unatania?
2 Reactions
3 Replies
2K Views
I’m pretty easy going, down for whatever. I have a huge heart, and I care a lot about people. I’m an open book, ask me whatever. I have a passion for knowledge. I have a passion for teaching. I’m...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
naona kama inatokea tu bila kupanga ila nahisi sababu ni kama ifuatavyo kwangu mimi 1.aibu tu...hii kitu haizoeleki(styl yoyote mi macho nafunga) 2.huwa ni giza kwa hiyo hata nikifungua macho...
2 Reactions
69 Replies
9K Views
Bwana wee, Nilikutana na kabinti kembamba aisee... Kanapenda ngono kama chakula, hata ukipiga simu saa 7 usiku kanakuja.. kwenye sex aisee ni katundu balaa, inabidi uwe umekula umeshiba, Bahat...
6 Reactions
61 Replies
9K Views
Habari zenu wana Jf. Nimekuwa nikijiuliza kwa nini mama anapewa sifa sana kuliko baba? Leo nimekuja na majibu ya shamba bora kwa mazao bora. Hapa nimetafakari sana nikagundua kuwa watu wote...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Mimi nawazaga hivi nikiwa mkubwa nitatafuta mke ambaye kwanza kwao Ni wa kishua halafu wawe wamezaliwa wawili tu au mmoja tu peke yake yaani sitaki Yule ambaye kwenye family yao wamezaliwa watoto...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu salaam. Katika pitapita zangu leo kwenye mitandao ya kijamii, asilimia kubwa ya watu waliotuma ujumbe wa "Happy Mother's Day" ni jinsia ya kike. Je hii inadhihirisha kuwa watoto wa kike...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Huwa najiuliza,sipati jibu kabisa.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Inakuaje unakosa nguvu za kiume au umerogwa,Mimi hapa sijafanya mazoezi mwaka wa nne huu,navuta Sana sigara pakiti moja kila siku na ganja nyingi,pombe siku moja moja( mimi na pombe Ni vitu viwili...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF? Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu. Nimeamua kutafuta mke ili niachane na maisha ya ubachela(Senior bachelor). Sifa za mke ambaye Napenda niwe nawe ni kama ifuatavyo:-...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Mimi natatizika sana na haya maneno au labda yote hapo sawa..bila MTU akitamka au nkilisoma katika ujumbe Mfano utasikia "nipo njiani kwa gari nakuja" Mimi kwa upande wangu hilo sio sawa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajf, Natafuta mchumba wakike, Mm nikijana mfanyabishara hvyo natafuta mchumba awe mfanyabishara pia au muajiliwa serikalin Sifa zingine ni Kama ifuatavyo 1.umri usizidi miaka 26 2.Awe...
0 Reactions
55 Replies
3K Views
Igweeeeeeee Wanazengo!!!!!! Jioni hii kulikuwa na shida sana ya usafiri. Wakati nimetoka kazini pale posta mpya kulikuwa na idadi kubwa sana ya watu wakingoja magari. Nikaamua kuto kusubiria...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini za usiku wanajamvi, Straight to the matter at hand........ Sio sawa kabisa kuingia katika mahusiano na mtu na kumfanya atengeneze hisia za kukupenda wewe, kumfanya mtu aamini kuwa wewe...
1 Reactions
0 Replies
954 Views
Mwanamke akikupenda, lazima atakuvumilia kwa kila jambo, hadi kwa mambo yako yasiyofaa, yanayomkera, yanayomuumiza na kumtesa kihisia. Kutokana na ufinyu wako wa akili, utaendelea kumtesa na...
6 Reactions
27 Replies
6K Views
Back
Top Bottom