Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,711
Ni swali nimeulizwa na Kijana mmoja hapa mtaani asubuhi hii.. ila nilivyo mwangalia alikua anatia huruma.
Ni kijana mzuri , mpole, mchapakazi anaejali watu wote. Alivyo niuliza swali hilo kwa msisitizo ikabidi nikae nae kwanza chini.
Ile anaanza kuongea machozi yakaanza kumtoka ndipo ninang'amua kwamba ile kama anayo iukizia ni majanga.
Kijana anasema kuna kabinti alikapenda sana. Akawa anahudumia kwa vizawadi, hadi akakasomesha kozi ya computer walau baadae kawe na maisha mazuri.
Cha ajabu eti leo asububi saa 11 kametima msg eti yule kijana aendelee na maisha yake na wasijuane ena na hakapendi usumbufu.
Kijana amechoka kabisa na hajui na uamuzi alionao ni kujitundika.
Baada y kumkalisha chini na kumwelewesha ni kama ameghairi kujigindika lakini bado anahitahiji msaada
Naomba mnishauri jinsi ya kuyabadilisha/ kuyaokoa maisha yake..
Asanteni.