katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
Wadau eti wanasema humu mimi katoto kazuri nawadharau watu wazima.
Sasa mpaka miaka mingapi humu wapo watu wazima wanaodai wanadharauliwa?
Nautadharauliwaje kama nawewe kichwa hakisomi unawadharau wenzako nakuandika message kama umemaliza standard 7 ukiheshimu mtu atakuheshimu.
Ila ukitext ushenzi means hujiheshimu na hutoheshimiwa.
So sintakuheshimu ukinijibu kunya.
Naukinijibu fresh najibu fresh huwezi kunidharau nikuangalie unanipaga nini cha faida.