Maana hawa viumbe sio mchezo muda wowote na saa yeyote wanaweza kuchange,
Ukimtendea wema kwa kudhani atatulia ndio kwanza atakuletea mapicha picha,
Ukimtendea vitu vya kumkela na visivyofaa...
Umekutana na mwanaume amefiwa na mkewe na ameachiwa watoto wadogo. Onyesha mapenzi kwa watoto.
Unaolewa na umemkuta mama mkwe umri umesogea, mlee kwa mapenzi yote.
Kuna sababu ya wewe kuwepo pale.
Habarini wadau.
Huku dodoma ni hatari.
Yaani siku hizi ukitoka out, wanaume wanavaa suruali za kubana na wengine kuvaa mlegezo kama wanaume wa kinondoni. Ukiulizia vipi hizi tabia, unaambia...
Wataalam wa Masuala ya Wanawake na Uzazi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki wamegundua kuwa Wanawake wa nchini Kenya ndiyo wanaoongoza kwa Kutokupenda Kuvaa Chupi ( Nguo za Ndani ) tofauti na wa...
Habari zenu wana MMU
Iko hivi hapo mwanzo mimi na mpenzi wangu tulikua tukichart na kupigiana simu vizuri tu lakini siku za hivi karibuni nimekuwa nikimpigia simu lakini hapokei sim yangu na...
Baada ya Tanganyika kukumbwa na wanaume goigoi hadi serikali kuingilia kati ili kupata suluhisho la tatizo sasa rasmi wanaume wa Dar wameamua kuwatenga wanaume wa kinondoni!
Hali inatisha hasa kwa...
-Maisha ya mahusiano ni magumu Sana kuliko hata maisha ya ndoa Boys wengi huwa wanachelewa sana kufanya maamuzi sahihi katika wakati sahihi na kuwakosa watu muhimu kwenye ndoa zao.
-Brother...
Mimi ni binti wa miaka kadhaa, ninafanya kazi kwa maana ya muajiriwa, nina mahusiano, sina mtoto
Kiafya Status yangu ni HIV+ (ugonjwa unawapata binadamu so zngatia kauli ikiwa wewe ni binadamu...
Jamani hii kitu inanitatiza, mwanaume kupenda makalio, matiti na lips, macho au kusema umbo la kike ni kitu ambacho kina eleweka. Maana kuna vitu vingi unaweza kupata entertainment.
Jamani...
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana,
Kama kichwa cha habari kinavyo someka hapo juu,
Nilikuwa nafanya kazi katika ofisi fulani hapa town lakini nilikuja kusimamishwa kazi kwa siku moja tena...
Kwa mara ya kwanza,tangu nijiunge na jf leo ndo nimeweza kuandika kupitia engo hii maana mm niko very much interested na ukurasa wa siasa na habar ila huku uwongo mbaya.
Naomba mnikarbishe...
Nadhani sasa lile wazo langu la Kuhama hii Wilaya Kimakazi sasa litakuwa limepata Msukumo mkubwa kwani sitaki niwe sehemu ya Aibu hii kabisa.
Ni kwamba pamoja na Wao kujifanya ndiyo Watoto...
James ni miongoni mwa watu ambao nimewahi kuwaona wakimiliki mademu wakali.. huenda imechangiwa na career yake(Jamaa ana Masters in Medicine).. kwa sasa Jamaa anamiliki mtoto mzuri katika umri wa...
Unakuajee wanaJF
Kwa kwel nimekuwa nikiambiwa na wazee wangu kwamba ukipata Mwanamke wa kuoa mpeleke kwa Mama yako naye mama yangu ataita wanawake wenzake basi watakwambia kwamba huyo binti n...
Sisi wanaume tumejaa tamaa sana, hasa za ngono kwa wanawake tofauti.
Kuna kamchepuko, nina endelea nacho, hapa nimekaa natafakari namna ya kuachana naye, hana tatizo lolote la kumuacha, lakini...
Amani iwe nanyi wapendwa,
Husika na kichwa hapo juu,
Mimi kama kijana mwenzenu kwanza huwa nina biashara zangu za hapa na pale ambazo zinaenda tu fresh bila shida.
Sasa shida ipo imekuja ndugu...
Habarini Wakuu.
Naomba tuianze Wikiendi kwa namna hii.
Maisha yalibadilika sana, kila mara nilikuwa mtu wa kukaa ndani kama mwali aliyetolewa mahari ya kisukuma. Wapi niende mimi Joka jeusi...
Nakupenda sana tena hakuna kifani nashukuru kuwa upo na mimi tokea mpweke mpaka sasa umenipa matumaini .
Naishi kwa furaha na kwa upendo kisa unavyonipaga moyo unavyonipaga mawazo yakutokata...