Wazazi wanajuaje mabinti bikra?

Wazazi wanajuaje mabinti bikra?

Eli24

Senior Member
Joined
Jan 1, 2018
Posts
165
Reaction score
365
Unakuajee wanaJF
Kwa kwel nimekuwa nikiambiwa na wazee wangu kwamba ukipata Mwanamke wa kuoa mpeleke kwa Mama yako naye mama yangu ataita wanawake wenzake basi watakwambia kwamba huyo binti n bikra au la.... Kwa kwel nilifanya hvyo na nlipompata mwanamke mmoja ambae sasa n Mke wangu nilimpelekaa kwa mama yangu naye mama akawaitaa wanawake wenzake wakaaa na huyo Mke wangu kabla hatujaoaa wakiongeaa mambo mawili matatu hvi kwa muda wa siku nzima tukapikiwa na kula vzur baada ya kuondoka tu.. Mama yangu alinipgia simu akisemaa huyo binti n mzur sana ana heshima na adabu anafaaa kuwa Mke wako lakin pia ni Bikra.ni kwel kabsa mim tangu nkutane na huyo binti sikuwah kukutana nae kimwili mpka pale alipoharalishwa na aliniambia kabsa yeye n bikra na kwel kabsaa siku ya honey moon nkamtoaa Mke wangu bikra.. swali langu huyo mama yangu alijuajee huyu binti km n bikra maana leo nlikuwa napga story mama yangu akanikumbushaa haya maneno nkachekaa sana
 
Naskia zamani binti akitaka kuolewa alikua anachunguliwa na ndugu zake hasa mashangazi ili kujihakikishia kama ni bk ama lah na ilikua inasaidia wakati wa kutolewa mahari kama uko vzr bk yani ndugu wanapata nguvu ya kudai mahari kubwa no negotiations,ila kama siyo bk utazomewa na mama yako atafedheheshwa kwamba hakukulea vzr. And mode of ukaguzi wa bk ilikua ni kuvua nguo na kutanua miguu ili kucheki sehemu kama iko tight au imeachia,ukikutwa imeachia utachezea kifinyo wewee na masimango juu. Yawezekana ndivo alivofanyiwa mkeo
 
Aiseeee [emoji1][emoji1][emoji1]
 
VP financial service umewai kupitia huko naona unauzoefu hatari sana au ww n kungwi?

Hahaaà, hapana nimeshare tu experience kwa yale niliyosimuliwa,by the way ndugu zangu walishapitia hizo kaguzi na walikua wakijitunza mno Kuepusha aibu. Tofauti na kizazi chetu tunajiachia tuu
 
Bora ukimbie jeraha la kudhalilishwa hudumu milele ...u are genius
For sure mkuu, maana baada ya ukaguzi taarifa hufika kila pembe ya ukoo mpaka majirani,utaskia ndugu wakiambizana umeskia taarifa za FS naskia kakutwa kopo huko,sitaki mimiiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom