Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,315
- 8,751
James ni miongoni mwa watu ambao nimewahi kuwaona wakimiliki mademu wakali.. huenda imechangiwa na career yake(Jamaa ana Masters in Medicine).. kwa sasa Jamaa anamiliki mtoto mzuri katika umri wa miaka 28 Mshikaji ana kila kitu ambacho asilimia kubwa ya Vijana wana ndoto nazo..
Lakini turudi Nyuma Back in the days huyu bwana mdogo alikuwa mtoto wa kitaa kwa sisi tunaomfahamu.. akiwa na umri kama miaka 8-13 hivi alikuwa akiokota vyuma majalalani ili aweze kuuza.. alifanya shughuli nyingi za ajabu ajabu ili apate kipato japo kidogo!
Huyu dogo alifaulu vizuri mtihani yake ya darasa la saba.. akaenda Special school Kipindi Hiko Tabora School/Boys.. alifanya vizuri Huko na Kusomea Shahada yake ya Udaktari Pale Muhimbili..
Kuvuta kumbukumbu nyuma huyu bwana mdogo alikuwa akiokota vyuma kwenye gereji ya mzee mmoja tajiri pale mtaani.. Mzee Huyu alikuwa na mabinti wanne.. lakini hawakuwa wakikaa hapo kwani walikuwa shule..
Kuja kuvuta Picha na kumuangalia GF wake James kumbe ni Binti wa Yule mzee.. James huenda akawa hajui na binti pia hajui..!
Lakini ndio hivyo binti anampenda mwana na mwana anampenda binti.. Life Linasonga!
Kwa maana hii kumbe historia haina maana kubwa kuhusu Kesho yetu.. Hali yako ya leo isikufanye uwe na kesho mbaya!
Be like James!
Believer!