Habarini Wakuu.
Naomba tuianze Wikiendi kwa namna hii.
Maisha yalibadilika sana, kila mara nilikuwa mtu wa kukaa ndani kama mwali aliyetolewa mahari ya kisukuma. Wapi niende mimi Joka jeusi...
Nakupenda sana tena hakuna kifani nashukuru kuwa upo na mimi tokea mpweke mpaka sasa umenipa matumaini .
Naishi kwa furaha na kwa upendo kisa unavyonipaga moyo unavyonipaga mawazo yakutokata...
Wanaume now days wanalalamika sana na kutushukia wanawake kupenda pesa na kutamani vitu vizuri, cha kushangaza hata waliooa hawawaamini wake zao, nachojiuliza hivi tunakwenda wapi kizazi hochi na...
Dini imekuwa kama biashara kubwa siku hizi, lakini zaidi ya biashara udanganyifu, uongo, utapeli na ulozi vimejumuishwa humo na waathirika wakubwa wakiwa ni mabinti na akina mama wenye kutafuta...
Nakumbuka tuliachana alipogundua kuwa yale malengo niliyomuahidi kabla mzee Magu hajaingia madarakani hayatatimia
Maana of course wahitimu wengi tumejaa mtaani huku wengi wakiwa wamekata tamaa ya...
Jamaa anamlaumu Demu wake amemtegeshe Mimba kwa kigezo aliuliza kama amwage ndani au nje demu akachagua ndani...
Demu anajitetea wakati wa tendo asiaminiwe sababu hakua kwenye nafasi ya kufanya...
Hata kama una uwezo wako mkubwa wa kifedha, ukipenda sana kutongoza wasichana wadogo na wenye maisha duni ambao kwao maskini sana ipo siku watakulia kete, lazima kila kukicha utakuwa unasomewa...
Wakuu salama...?
Naomba kutoa dukuduku langu, kwa kipindi cha miezi 6 nimekaa hapa mjini nimegundua tatizo moja kubwa sana la afya ya kinywa hususani kwa dada zetu.
Yaani unakuta mrembo yupo...
Mumewake Bahati Bukuku alikuwa na hawara ambaye naye ana mume akitesa naye kwa rahazao na kusahau kabisa ndoa yake. Mwanamke huyo wa nje alionyesha dharauiliyokithiri dhidi ya Bahati Bukuku...
Naomba niseme tu wazi bila kumung'unya maneno...TANZANIA KUNA UTUMWA TUMEUHALALISHA KWA JINA LA (WAFANYAKAZI WA NDANI/WADADA WA NYUMBANI/AU DADA WA KAZI ZA NYUMBANI)
Yaani wengi katika familia...
Juzi Shemeji yangu kaniomba nimpeleke mpaka kwake nlivyofika kwake akanikaribisha ndani wala sikukaa nikaondoka na akaniambia nisimwambie jamaa kama alinipeleka kwake,
Jana kanikuta kwene mambo...
Natumai pasaka inaenda poa Hapo ulipo..
Ni kawaida Kwa binadamu kuwa na hisia na mtu ambaye hawezi kuwa wake..hata iwe vipi..
Mimi Kuna mwanamke mmoja nampenda Kinoma..ila hawezi kuwa...
Habari zenu wanajanzi.
Nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja Muda mrefu sasa. Ninampenda sana kwakweli. Nimekuwa nikijipinda sana ili kumfurahisha kwani nimekuwa nikimnunulia viatu, mikoba...
"We live in a generation of not being in love And not being together But we sure make it feel like we're together Because we're scared to see each other with somebody else"
there is an antagonist??
Aliamka asubuhi na mapema kufagia Uwanja wa nyumba. Jirani na nyumba yake akamuona mwanaume akifagia.
Hakuamini. "Mwanaume, muda kama huu aamke na kufagia, oh mke wake ana raha kweli."...
Habari za usiku wanajamvi !!!!
kama kichwa kinavyo jieleza .
Mimi debless nimewaza sanaa juu ya jina zuri la kumpa mtoto wa kiume .Nikajikuta na Jina hili "Bright " kichwani mwangu .Sasa nataka...
Wadau nani saizi anapendana leo weekend naniwapi?
Hivi umeshawahi kudaata na mme /mke wamtu?
Nailikuwaje naomba mnijuze jamani.
Je kwa wale walioshikwa naomba mnijuze pia
Waku habari za usiku Niko naugulia Dengue hivyo leo sijatoka hapa ninapo kaa kuna mpangaji anamtoto weke wa kiume umri miaka 5 au 6 chekechea pia na mtoto wa nyumba ya jirani umri miaka 8 kavulana...