Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

ikitokea mwanaume ulikuwa na demu wako unaye mpenda kwa dhati kabisa ghafla tu anakuambia kuwa kuanzia leo mimi na wewe basi kila mtu afanye mambo yake ,hakuna tena cha mahusiano wala mapenzi je...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Salam kwenu wakuu. Wanawake bana nashindwa kabisa kuwaelewa. Hivi inawezekana Mwanamke akatoka home kuelekea katika mihangaiko yake bila kuvaa hata PICHU?πŸ™„πŸ™„πŸ™„ Leo Asubuhi wakati naelekea katika...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Mchezaji wa kenya amezaliwa Januari 31, 1992,je unaweza kuamini ana miaka 27?unahisi ni kitu gani kimemkuza hivi?
1 Reactions
101 Replies
10K Views
Mwanamke ni sawa sawa na gari,kuna ist,ford ranger,explorer,landcruiser n.k pia wapo wenye cc 1000, 2500 n.k Mi napenda ford explorer,landcruiser n.k yaani wale waliojazia wanaoanzia cc 4600.Je...
1 Reactions
69 Replies
5K Views
Niaje Maninja na masista Duu wa JF.Najua mko Gud, Ok mzuka mwingi. Twende kwenye Topic wazazi Kwa jinsi Dunia inavo Rotate kwa kasi ya kimbunga Kenethi Na watu waliomo ndani yake basi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Maisha ya ndoa raha sana hasa pale mnapokuwa mnatafuta watoto;akiwa jikoni unampa kitu,bafuni unampa kitu,chumbani unampa kitu,sebuleni unampa kitu,kama uko kwenye uzio pia unampa kitu,akiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Baby naomba usiniache sawa"
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Mungu atuzidishie imani.
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Salamu Sana. Kwa wale wenzangu wenye kasumba Kama mimi ambao unamtongoza demu halafu anakuletea nyodo (anakaku zoom kuanzia chini mpaka juu) halafu anakusonya fyuuuuuu!! Mara nyingi huwa kuna...
2 Reactions
10 Replies
9K Views
Mimi binafsi nawapa kura wanawake wa kawaida hawa wanajua sanna yani asilimia kubwa ni mafundi. Wewe je?
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Ukweli ni kwamba katika mahusiano sisi wanaume ndio tunaplay part kubwa. Mwanaume unapambana unampa mwanamke kila kitu anachohitaji from A-Z halafu anakusaliti, hapo lazima uumie sana. _Mwanamke...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1597750/
0 Reactions
5 Replies
754 Views
Habarini za mchana wakuu, sikuhizi biashara ya ukahaba inafanyika sana kwenye mtandao, binafsi niliwahi chat na msichana DM huko instagram mara ghafla akaniuliza unahela?? ni kamwambia ya nn...
1 Reactions
4 Replies
6K Views
Leo, nimekumbuka mbali kweli enzi hizo tunasoma kulikuwa na demu balaa class yaani kila paper ana A,achana na Huyo demu bwana kulikuwa na jamaa yangu Hugo alikuwa moto yaani in balaa kila paper...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo, nimekumbuka mbali kweli enzi hizo tunasoma kulikuwa na demu balaa class yaani kila paper ana A,achana na Huyo demu bwana kulikuwa na jamaa yangu Hugo alikuwa moto yaani in balaa kila paper...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo nilikua maeneo ya sinza nikijipongeza na moja moto moja baridi baada ya kumaliza majukumu yangu ya kila siku.. baada ya kinywaji kunikolea nikaona isiwe tabu acha nipate burudani ya penzi...
2 Reactions
49 Replies
6K Views
Wakuu, Ipo wazi kuwa, wakati wa kupenzika, mwanamke akitoa zile sauti za kimahaba hata kama ana fake, zinaongeza sana mzukaa kwa mwanaume na kumfanya afurahie sana tendo na hata kumwaga mapema...
1 Reactions
39 Replies
12K Views
Aisee nimesikitishwa sana na suala la Kamanda wetu kukiri kuwa alikuwa na taarifa mapema kuhusu shambulio la kigaidi alafu Akazitunza tu kama mayai[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Marekani...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naweza kuvumilia sana tena sana lakini mwanamke mchafu,mchoyo,mchawi,Malaya,kiburi kamwe siwezi kuvumilia milele! Tuanze na mwanamke mchafu! Uchafu nao uzungumzia unaweza ukakuta mwanamke ni...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika busara na upuuzi wangu, leo nimekuletea vitu vya kuzingatia katika mahusiana au ndoa yako. Mimi bado nipo single so kama nimekosea unaweza kunirekebisha [emoji23] Kila mwanadamu utakae...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…