Usha wahi kuonahili

Usha wahi kuonahili

Sensor Chief

New Member
Joined
Jun 19, 2019
Posts
4
Reaction score
1
Leo, nimekumbuka mbali kweli enzi hizo tunasoma kulikuwa na demu balaa class yaani kila paper ana A,achana na Huyo demu bwana kulikuwa na jamaa yangu Hugo alikuwa moto yaani in balaa kila paper yeye in A tu... Mimi binafsi sikuwa moto sana lakini niliwakimbiza wasela kipindi Fulani hivi.

We we unamkumbuka kichwa darasani kwenu au kulikuwa wewe.0va
 
Kuja jamaa huko primary alikua ndio kichwa tangu latano hadi lasaba..kuna siku alipata 49/50 somo la hesabu..chakushangaza alikua anaogopa kurudi kwao baba ake atamchapa..tulimshangaa sana wakati wengine tukipata 35 tunajipongeza..ila tulimsindikiza tukamuacha getini kwao ..tukasikia sauti ya baba ake "nipe mtihani huo" hatukujua nini kilifuata baada ya hapo
 
Back
Top Bottom