Nimepata ajali penzini nahitaji msaada wenu wakuu

Kichwa Tango

Member
Joined
May 29, 2019
Posts
58
Reaction score
78
Leo nilikua maeneo ya sinza nikijipongeza na moja moto moja baridi baada ya kumaliza majukumu yangu ya kila siku.. baada ya kinywaji kunikolea nikaona isiwe tabu acha nipate burudani ya penzi ndipo nikachukua dada poa na kwenda nae gest.. kwa jinsi nilivokua nimekamia game nilisukumiza mkunyenge kwa pupa bahat mbaya condom ikapasuka ila sikujali sababu utamu uliongezeka ila sasa najutia kwani yule dada hajaonesha waswasi wowote baada ya kuona condom imepasuka

Naombeni msaada hata wa mawazo wakuu nifanyaje ili nizuie maambukizi kama yapo ,naogopa kupima
 
Pia sechi humu JF una wenzako walishauliza haya na kujipiwa
 
Leo nilikua maeneo ya sinza nikijipongeza na moja moto moja baridi baada ya kumaliza majukumu yangu ya kila siku.. baada ya kinywaji kunikolea nikaona isiwe tabu acha nipate burudani ya penzi ndipo nikachukua dada poa na kwenda nae gest.. kwa jinsi nilivokua nimekamia game nilisukumiza mkunyenge kwa pupa bahat mbaya condom ikapasuka ila sikujali sababu utamu uliongezeka ila sasa najutia kwani yule dada hajaonesha waswasi wowote baada ya kuona condom imepasuka

Naombeni msaada hata wa mawazo wakuu nifanyaje ili nizuie maambukizi kama yapo ,naogopa kupima
Nimeishia kucheka [emoji23][emoji23]
 
Mtu mwenyewe unaitwa Kichwa Tango Kwisha habari yako.....kwishnei
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom