Unamkumbuka aliyekuwa kichwa darasani kwenu enzi hizo

Sensor Chief

New Member
Jun 19, 2019
4
1
Leo, nimekumbuka mbali kweli enzi hizo tunasoma kulikuwa na demu balaa class yaani kila paper ana A,achana na Huyo demu bwana kulikuwa na jamaa yangu Hugo alikuwa moto yaani in balaa kila paper yeye in A tu... Mimi binafsi sikuwa moto sana lakini niliwakimbiza wasela kipindi Fulani hivi.

We we unamkumbuka kichwa darasani kwenu au kulikuwa wewe.0va
 
Mimi nilikuwa nawashangaa tu

pia niliowaona watu ambao sio wa kawaida kwa uwezo wao mkubwa darasani

Hata kuwa nao karibu nilikuwa naogopa niliona kama nitawambukiza ukilaza wangu.

leo hii ni viseversa.

OVA!
 
Sikuwa kichwa ila nilikuwa kiwili wili lakini niliwakimbiza balaa watoto wazuri full kuwala
 
Back
Top Bottom