BIASHARA YA UKAHABA NA MITANDAO

The Initiator huru

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
1,531
1,733
Habarini za mchana wakuu, sikuhizi biashara ya ukahaba inafanyika sana kwenye mtandao, binafsi niliwahi chat na msichana DM huko instagram mara ghafla akaniuliza unahela?? ni kamwambia ya nn akaniambia anipe mzigo, nikawe ka apointment nae nikamuona nikampima nikatumia condom nikamgegeda. Sikupata raha yoyote pamoja na kuwa na chura kubwa ila ni mzito kama yule video yake iliyovujaga.
Pili nimeingia kwenye mtandao wa Hitwe nikawa na chat kawaida tuu , kuna mademu wazuri na wabaya , wakati nachat mara ghafla mdada akanitumia picha akiwa nusu utupu ananiambia hela yako tuu, mwingine tena nae akaniambia hela yako tuu nikaukimbia huo mtandao baada ya shoga mmoja anajiita dragaboy kuja inbox, nikasema niukimbie huo mtandao.
Kiufupi wapo wadada wanaojiuza kwenye maeneo maalumu kwa kupanga mstari wakisubiri wateja , na kunawengine wanajiuza mitandaoni siku hizi wamekuwa wengi sana.
Wapo ambao wanakuambia kuungwa kwenye group la sex 5,000/= na kuna maboya wanalipa wanaishia kutumiwa picha za ngono na za uchi akati angeweza kuweka bando na kuangalia mwenyewe.
MWISHO: Wanaume wenzangu tusinunue makahaba ili biashara hii ife, na kuokoa ndugu zetu. sasa ni muda wakuwashauri mabachelor waoe
Revolution must be done.
I'm Konki, konki, konki master
 
yani ulipo sema "elfu 5000 waweke bundle wakaangalie" ndo ulipo nichosha kabisaa na kutambua kua we ni mdau ambaye una piga marufuku

mkuu acha ubinafsi unataka uwe unakula pekeako?!?!?!
 
Back
Top Bottom