Udhaifu huu JPM usiufumbie macho

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
21,496
41,919
Aisee nimesikitishwa sana na suala la Kamanda wetu kukiri kuwa alikuwa na taarifa mapema kuhusu shambulio la kigaidi alafu Akazitunza tu kama mayai Marekani washukuriwe sana nilidhani ni mabeberu kumbe wameamua kufanya jambo sahihi kwa wakati sahihi...!!
Screenshot_20190620-094118_Instagram~2.jpeg
 
Waongo hao walikuwa wanangoja nini, mpaka watu wa nje kusema. Hata kama walikuwa hawajui naona wanaji uma uma tu.
 
Viongozi wetu wengi ni "mambumbumbu" a.k.a "vilaza" tetesi kama hizi sio za kufanyia kificho....ni uhai wa watanzania....lakini ndio hivyo tena viongozi wa "kuokotwa majalalani " hawana uzaledo!
Ndo maana Mr president kila siku vikao ikulu Madudu hayaishii... Jambo serious kama hili mtu anataka alete siasa
 
Kila kazi ina Ethics zake.
Pengine wakipata taarifa lazima waichunguze wakishahakikisha kuna ukweli ndipo waiachie public.

Nahisi siyo kila tetesi lazima wawe wanaziachia , maana nyingine zinaweza zisiwe na ukweli na zikasababisha hofu kwa wananchi na kupelekea shughuli nyingine kukwama.
 
mambo ya usalama hayo mkuu wakuambie afu ndo ufanye nn? Utachukua hatua gani we kama wewe? Kumbuka unapogundua njama za mbaya wako watakiwa kukaa kimya ili yeye asije akajua akabadili mbinu kukupoteza. Na watanzania wanavyopenda mitandao ya kijamii wataabdilisha hizo habari wengine watazitia chumvi itakuwa vurugu tupu na maana ya kuzuia ikayeyuka.
 
Ni kweli kabisa, huyo hajui, mambo mengi sana yanatokea na kuwa solved kimya kimya. Hivyo ndivyo serikali zinavyofanya kazi. Akangalie series ya 24 ndo atajua kwann taarifa za kigaidi zinaishia kujulika na mamlaka husika tu za ugaidi, yaani issues zingne hadi fbi hawajui kinachoendelea
 
Sasa wewe ukiambiwa kwamba kuna possibilitu ya shambulio la kigaidi kwenye maeno hayo si Unajihami kutokwenda kwenyw hayo maeneo au?? akam upo around unaondoka kwenye huo mkusanyiko maana shambulio la kigaidi kalikufati kwako ni Mahotel...Migahawa..Vyuoni na Mashuleni
 
Ni kweli kabisa, huyo hajui, mambo mengi sana yanatokea na kuwa solved kimya kimya. Hivyo ndivyo serikali zinavyofanya kazi. Akangalie series ya 24 ndo atajua kwann taarifa za kigaidi zinaishia kujulika na mamlaka husika tu za ugaidi, yaani issues zingne hadi fbi hawajui kinachoendelea
Marekani aliwapa taarifa raia zake waliopo nchini sasa hili Pia limeamsha jeshi letu toka usingizini..!!
 
mambo ya usalama hayo mkuu wakuambie afu ndo ufanye nn?

Walichotuambia marekani tukifanye ndicho walichotakiwa police watuambie...

Kumbuka unapogundua njama za mbaya wako watakiwa kukaa kimya ili yeye asije akajua akabadili mbinu kukupoteza

Umeshawai ona nchi duniani inapata tishio lolote halafu inakaa kimya eti kisa watabadili mbinu... tahadhari muhimu mkuu
 
Kamanda hana makosa...

Ni mpaka wapewe maagizo kutoka juu...

Ukitangaza kivyako vyako, TCRA wanakushugulikia, wizara ya mambo ya ndani wanakushughulikia pia tena kwa mbwembwe na sifa kabisa...

Cc: mahondaw
 
Aisee nimesikitishwa sana na suala la Kamanda wetu kukiri kuwa alikuwa na taarifa mapema kuhusu shambulio la kigaidi alafu Akazitunza tu kama mayai Marekani washukuriwe sana nilidhani ni mabeberu kumbe wameamua kufanya jambo sahihi kwa wakati sahihi...!!View attachment 1132282
kumbe kiswahili ni kigumu ivo dah, soma vizuri apo amesema hatujaanza kuzifanyia kazi leo, maanake wanazifanyia kazi tokea kitambo
 
Back
Top Bottom