Hawa viumbe, wewe acha tu.

Hawa viumbe, wewe acha tu.

Kibumbula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2018
Posts
3,697
Reaction score
3,412
Mungu atuzidishie imani.

 

Attachments

  • Screenshot_20190620-164416.png
    Screenshot_20190620-164416.png
    370.3 KB · Views: 31
Hahaha yaani kasimama kaganda kabisa kama vile amepatwa na stroke Ghafla
 
Nadhani itakuwa hivyo maana wazungu wakija -'u nahisi kupigwa ganzi mwili mzima. ....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We acha tu.Halafu yawezekana chini mambo si mambo tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shekhe amesha zoea kuona mapaja yakifunikwa ndani ya Juba -''-- Hijabu mpaka kitandani --- so ni halali yake kupatwa na Dege dege
ila hivyo sio vitamu kabisa,,,fahari ya uumbaji tuu.....viko macho juu juu
 
Kuna msichana nilikaa naye siti ambatano, yaani siti za pamoja kwenye basi... Safari ya masaa 17... Katikati ya safari tukajikuta tunashikana mikono...

Hapa najaribu kusema kwamba... Hawa viumbe wanaushawishi mkubwa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom