Kuna wanawake wanahitaji uwe na uvumilivu wa kiwango cha mwisho wa Dunia!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,038
Naweza kuvumilia sana tena sana lakini mwanamke mchafu,mchoyo,mchawi,Malaya,kiburi kamwe siwezi kuvumilia milele!

Tuanze na mwanamke mchafu!
Uchafu nao uzungumzia unaweza ukakuta mwanamke ni mrembo na anavutia sana apitapo barabarani lakini nyumbani anapoishi unakuta hata kitanda hatandiki,mashuka yana mwezi hayajafuliwa,usiku anakojoa kwenye ndoo na sometimes anaoshea vyombo humo humo,utakuta akiacha kijiko kwenye sofa kinaweza kukaa hata wiki pale pale,etc
Mwanamke mchoyo!
Mwanamke mchoyo nayemzungumzia ni mwanamke ambaye hata akiwa na pesa nyingi kiasi gani anataka atumie ya rafiki yake,kula kwa jirani yeye akipika anasubiri hata hakuna MTU ndio anakula au wageni wakija ananuna!

Mwanamke mchawi!
Mwanamke mchawi sio lazima awe mchawi direct ila kama kila Mara anakwenda kwa waganga huyo ni mchawi tosha!
Mengine nitamalizia soon
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom