For every action there is an equal and opposite reaction

Daisy Llilies

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
1,017
Reaction score
2,163
Huyu bishost nilisoma nae, lakini tangu tukiwa shule alipenda mambo makubwa. Aliliwa na waume za watu na mababa yenye pesa.

Mtihani wa form four majibu yalipotoka wala hakujali kuyaangalia alikuwa na division 0 ya uhakika. Mjini mipango bwana, mmoja wa mashuga daddy wake alimtafutia kazi kwenye shirika la umma.

Alifanikiwa kuokota dodo baada ya sugar daddy mmoja kufiwa na mkewe na bishost kupata ndoa ya kanisani. Mzee akiwa na 46 bibie ana 21.

Walibahatika kupata watoto na walisoma English medium. Sasa mtoto mkubwa binti amemaliza shule ameolewa na kijana mwenzake. Uzazi wa kwanza mama amehamia kwa mwanae kumsaidia mzazi. Amekata mwaka hajarudi kwa mumewe kikongwe wa miaka 70+.

Kumbe shost anashare mume na binti yake ndiyo sababu inayo muweka kwa mwanae.

Mnaooana kwa gap kubwa ya umri mkumbuke kuwa for every action there is an equal and opposite reaction.
 
".... sometimes you can't sleep...."
.....you don't drink
.....you can't force reading

Kwa pamoja tuseme Hallelujah! Jf is a gud frnd.

All the time God is good
All the time Jf is good ×2
[emoji2956][emoji2956][emoji2956]
 
ha ha ha ha mzee atakuwa amepungukiwa nguvu za kium...
 
".... sometimes you can't sleep...."
.....you don't drink
.....you can't force reading

Kwa pamoja tuseme Hallelujah! Jf is a gud frnd.

All the time God is good
All the time Jf is good ×2
Tafuta mwenza kutibu hilo tatizo
 
Back
Top Bottom