Ngozi nyeupe wana shukrani

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,420
40,405
Kuna dada mmoja wa kigeni alikuja mkoa ninaoishi kwa shughuli za kitalii;kwa kipindi chote alichokuwepo hapa mkoani, ninapokuwa na nafasi nilikuwa nampa kampani pamoja na tendo la utu uzima.Kwa ujumla alikuwa na furaha sana.....wiki mbili zilizopita alirejea kwao,huku akitoa shukrani za kushukuru kwa kampani niliyompatia kwa kumjali.Je, hawa wenzetu weusi huwa wanashukuru?
 
Serikali imepiga marufuku vijana wa Kitanzania kudate na vibibi vya Ulaya tena kwa ujira uchwara
Kuna dada mmoja wa kigeni alikuja mkoa ninaoishi kwa shughuli za kitalii;kwa kipindi chote alichokuwepo hapa mkoani, ninapokuwa na nafasi nilikuwa nampa kampani pamoja na tendo la utu uzima.Kwa ujumla alikuwa na furaha sana.....wiki mbili zilizopita alirejea kwao,huku akitoa shukrani za kushukuru kwa kampani niliyompatia kwa kumjali.Je, hawa wenzetu weusi huwa wanashukuru?
 
Kuna dada mmoja wa kigeni alikuja mkoa ninaoishi kwa shughuli za kitalii;kwa kipindi chote alichokuwepo hapa mkoani, ninapokuwa na nafasi nilikuwa nampa kampani pamoja na tendo la utu uzima.Kwa ujumla alikuwa na furaha sana.....wiki mbili zilizopita alirejea kwao,huku akitoa shukrani za kushukuru kwa kampani niliyompatia kwa kumjali.Je, hawa wenzetu weusi huwa wanashukuru?

Mkuu unawatembezea sana rungu ehh
 
Wanadai pesa tu hata wakiondoka uendelee kutuma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom