Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Japokuwa wamejitokeza wanasayansi uchwara kwa kusema ukila baadhi ya vyakula fulani unanenepa kupita kiasi sasa sisi team vimbambau tunapingana vikali ni utafiti huu!yaani sisi wengine hata tunywe...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Yaani ninyi hamna akili kabisa nilipokuja kuchumbia swali kubwa lilikuwa kazi yangu, Nimewaambia kwa sasa nasajili laini za Tigo, Voda na Airtel munaanza mbona Mzee?? kwanini hamkuanza kuushangaa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hi guys, i hope mko poa. La leo lililonileta ni kukusanya mahitaji yenu ni mada zipi mnataka au ni maswali yapi mliyonayo mnayohitaji ufumbuzi au majibu, yanayohusiana na jukwaa hili, then kupitia...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
am a 21 year old NRI female. My family are from the state of J and K but I was born overseas and raised overseas. I was travelling solo in India for a while and decided to explore the Tinder...
0 Reactions
4 Replies
931 Views
Kama hili linaweza kuigwa na hapa fanyeni hivo watoto wa kike maana ndio starehe zetu jamaan hizi. Kama vipi tutazisafiria huko huko!
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Niko kimya siku mbili tatu hizi siyo kwamba nimepotea au nimetekwa hapana, Zero niko likizo nakula papuchi ya kisukuma na kukiangalia Vyema hichi kiwanda changu cha kuchakata viazi kuwa chipsi...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
... So live a life you will remember! 💅
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Jamani wana JF, Mimi ni mara yangu ya kwanza kuleta mchango humu ndani kutokanna na upya wangu katika majukwaa haya. Ni mwanamke wa miaka 28. Ni mwezi wa sita sasa sina uhusiano kutokana na...
12 Reactions
91 Replies
11K Views
  • Closed
Ni tsunami ya kutoweka kwa wanaume kamili... Ulaya tayari wanapumulia mashine.... Hakuna wanaume kamili tena... Wanaume waliopo nao wanahitahi wanaume Baada ya kuacha asili nichukue mkondo wake...
5 Reactions
51 Replies
5K Views
Huu ni utafiti wangu binafsi na ndo nilivyoshuhudia kama wewe ni mwanaume mrefu na una tege basi tembea kifua mbeleeee. Wadada wengi wanadai wanaume wa hivi tupo sexy na pia mikuyenge tunayo si...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Habari za asubuhi, Natumai mmeiona nyota njema ambao mshadamka kuwajibika. Na ambao ndo mmeingia kulala, alamsiki ambao bado hamjaamka yaani bado mmeuchapa (alalaye uaimwamahe sssahhhhh) Wacha...
14 Reactions
47 Replies
4K Views
Bora hata wanawake wana hiari ya kuchagua mwanaume mwenye dudu kubwa au dogo ila sisi wanaume pango utalokutana nalo una pambana nalo ivyo ivyo yani[emoji852][emoji852]
0 Reactions
0 Replies
525 Views
Heey Dadii... You are the man I adore 🥰 Cherish and so on... I like the way you treat me .... I like the way you hold me.... I like the way you hug me... I like the way you kiss me.... I like...
1 Reactions
4 Replies
758 Views
"My fiancé and I live together. I own the house (it’s paid off) and he pays me $500 a month. The bills for the house are very low and come out to about $300 a month, so essentially he’s paying...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mchumba baade aje kuwa mke anahitajika. Sifa zake.. Umri miaka 22--35 Kabila lolote Makazi-Dar es salaam Akiwa mnene itapendeza zaidi Rangi yeyote Elimu kuanzia kidato cha 4 Mrefu au mfupi vyote...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Umeshawahi Kuwaza ARVs zingekuwepo Miaka ya 80,90 Mwanzoni wa 2000 zingeokoa Maisha Ya Watu wangapi. ? Raymond Titus Nyagori, binamu yangu niliempoteza Kwa HIV miaka 16 iliyopita, Ray was smart...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Sina la kusema, Asante JamiiForums narudia tena asante JamiiForums you are great ooh! Mpaka nitaongea kichaga sasa Aikaa JF! Guys JamiiForums is real if you are 100% real basi una fungu lako kama...
11 Reactions
67 Replies
6K Views
Hello my name is John am stay in Dar es salaam. Am search for girl who can be my friend first and later if God wish we can move to another level. She should be free of herself,age 25 and above...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kumekuwa na kawaida ya kulipa mahari wakati wa kuoa. Mahari hiyo hulipwa na mwanaume kwa mujibu wa tamaduni za kiafrika. Ulipaji huu wa mahari hufanya ionekane kuwa mwanamke ananunuliwa. Sasa si...
1 Reactions
659 Replies
100K Views
Nahitaji kuwa na rafiki mmoja wa kike umri usizid 30 years mwenye focus nzuri ya kimaisha na mwenye kuona mbelee..!! Km uko interested nichek kwa 0652835872
1 Reactions
2 Replies
914 Views
Back
Top Bottom