habari wanajamvi.
naombeni ushauri kuhusu kuoa mwanamke mnywaji wa pombe.
mimi nimekulia pombe toka utoto lakini nilipfikia miaka kama 14 niliacha mpaka sasa niko zaidi ya 28.
nimekuwa na bahati...
"Dereva ukifika kwenye tuta Endesha Taratibu, Tumechoka kurudisha Matiti kwenye Sidiria"
Alisikika dada mmoja wa Buza katika daladala.
Washkaji zangu Tuambizane, Matiti makubwa yana raha gani...
Rafiki yangu kidogo ajiue.
Kajitolea kamsomesha mchumba wake hadi kamaliza chuo Udom. Wakati wanapanga mipango ya ndoa demu akaaga anaenda kwao mbeya kusalimia kufika huko akafunga ndoa kimyakimya...
Wanajamvi nin miaka 3 tu kwenye ndoa lkn nimemchoka mume wangu hatari. Akisogea karibu yangu nasikia harufu ya chatu na siyo ya binadamu.
Usiku huwa kuna muda nakosa usingizi kwa mawazo juu ya...
Hivi ikitokea mkeo ni gogo hafanyi kitu kitandani mpaka aambiwe,hajishughulishi kwa lolote lile.akiambiwa anaona ni kawaida.
Yani mwanamke labda anafikiria ya kwamba kule kupenziwa tu na mumewe...
Omba hii kitu isikukute. Kama mlikuwa na uhusiano na mwenza wako seriously basi utajihisi umefanya upumbavu wa hali ya juu. Kwa wale walioko kwenye ndoa ndio kabisaa utajihisi kufa kufa hasa kama...
Utakuta Umelala na Mwanamke mnafanya Mapenzi yenu lakini pamoja na Yeye Mwanamke kukufanyia kila aina ya Manjonjo yake pale Kitandani bado unajikuta Bao / Goli halikupi Ushirikiano wake wa Kuja (...
Ana miaka 16 mwezi ujao anaingia 17.
-Kaacha kwenda kanisani
-Nimelewa kesi 2 hadi sasa za yeye kupiga watoto wa majirani
-Shuleni ana akili sana ila walimu waliniambia ana kikundi chake cha...
Akiolewa anatulia tuliiiii! Utadhania hata siyo yeye.
Mwanaume sasa! Loooh! Unakuta mkaka mtulivu ka vile ana undugu na mitume, ngoja aoe, sijui wanakutaga nini huko ambacho hawakukijua! Anaanza...
Watu humu hatujuani.watu humu tunakuja na stress zetu tunaandika tutakayo .
Sasa iweje humjui mtu unaanza kumsakama kwa maneno makali ai hebu mkae mjue humu watu huja kwa strsss.tu tunamaisha yetu .
Habari Wakuu,
Nmejaribu kuchunguza wadada wengi kuanzia ninaowagegeda mpaka wale ninaopishana nao njiani utakuta kachanjwa chale kama sio nyuma ya kiuno kabla ya mstari wa tako basi kwenye koo...
Sielewi yaani, nifundisheni kupenda. Naona nipo nipo tu ila wivu ninao.
That degree ya kupenda kwamba hadi na feel eeehhh, naona kama illusion hv, eeeehhh. Ooohhh tunapendana.....lkn sioni...
Wajumbe habari zenu.nimekua nikichungulia kwenye forum hii kwa siku kadhaa na nimepatwa na mtikisiko wa mawazo kutokana na neno kugegeda.hivi hili neno Lina maana gani? Maana Kuna muda nahisi ni...
Habari za Pasaka aisee?
Mwenzenu nipo sitting bado natoa macho tu hapa sielewi nikalale au niendelee kuzuga kishikaji. Shemeji yenu kanipiga adhabu ya nguvu ambayo anajua vizuri lazima...
Salaam wakuu? leo nilikua napita kwenye mitaa ya Bonyokwa, nje ya nyumba moja kulikua kumejaa watu wanamshambulia mwizi, bila shaka kila mmoja wetu hapa kipigo cha mwizi anakifaham, kwa bahati...
Habari wakuu,
Twende kwenye mada...
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Ni kwamba nimekuwa nikiangalia namna ambavyo vijana wa kiume wa sasa na nimekuwa nikijiuliza maswali mengi...
Utakuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.