Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nipo afrika ya kati nafanya biashara natafuta mchumba nyumbani tz
Sifa zake
1.awe anajielewa
2. Awe mkristo
3.ata km Ana mtoto 1 sio mbya maana ata mimi ninae.
Natumaini wakuu hamjambo kabisa.
Mimi ni baba wa watoto wawili wote jinsia ya kike.
Namshukuru Mungu kwa kunijalia kupata wrembo hawa ila kuna kitu ningependa kushare na nyie wenzangu.
1...
Jamani kwa mfano umeoa mke mmeishi miaka zaidi ya mitatu na hajawahi kukwambia kuwa ana Virusi vya UKIMWI halafu siku unapata habari kwa marafiki zake anavyojinadi kuwa anao ila hawezi kukwambia...
Kuna ndugu yako anayekutafuta hapa
Kulikuwa na mfalme mmoja aliyekuwa na mbwa kumi wakali sana. Alipenda kuwatumia mbwa hawa pindi akitaka kumuadhibu mtumwa aliyekosea.
Mbwa hawa waliwatesa...
Nauliza tu jamani maana mi ndoa yangu 5yrs now hakuna Baby,ila washauri ni wengi mno. wanayonishauri mengine sijawahi hata kuyaona au kuyasikia ila mi ni mgumu sana kufuata ushauri.....Wana J.f...
Salaam Jf
Siku zinaenda, umri unasonga na uzoefu unajengeka.
Kama mwanamme halisi... uzoefu unanionyesha hata chanda kiwe hot kiasi gani, ukipita ule muda wa fantasy period anakuwa wa kawaida...
Watu wanashida kama mimi mnatukejeli na maneno yakujishaua mnayatoa sasa kumuhitaji mganga ni mbaya ?? Mnajua ila kuja PM NDIO TABU KUWAELEKEZA WENGINE ACHENI ROHO MBAYA
Habari wakuu
Japo sio swala jipya ila hata hii ni yenyewe[emoji22]
SITOMWAMINI MWANAMKE TENA
Nimeamua kulielezea hili kuhusu wewe mwanamke tuliyedumu ktk mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja. Sio...
Habari wana jf,
Eti nasikia mods wamenipa ban!!😂😂😂
leo tumepata mkasa wa brother katika ukoo kumgegeda mtoto wa shangazi yake kwa siku tatu!
kwanza tunamlaumu sana binti kwani yeye alikuwa...
Ishu ipo hivi....
Mwaka jana nipo Mawasiliano (SIMU 2000) nkakutana na mwanafunzi wa School of Law, tubadilishana namba mawasiliano yakaanza.
Tukaanzisha casual relation, au labda niite friends...
Hili suala tulisikie tu jamani. mdogo angu kabisa yamemkuta. Ipo hivi; mdogo angu alikuwa na mpenzi wake aitwae ireen. walikorofishana mwezi juni mwaka 2018 wakaachana. Mwezi novemba mwaka 2018...
Sio Kila EX Wako Anayeomba Mrudiane Anamaanisha! Wengine Huomba Kurudi Ili Wakutesti Tu Jinsi Ulivyo Mbulula,Jinsi Usivyo Na Msimamo Na Jinsi Ulivyo CHEAP Na Huna Misimamo Wala Future.
.
Jitu...
Habari wana jf,
Kulingana na kichwa uzi wanawake wenyewe ni kama wafuato:-
1:Sura mbovu kama au sura kama lemi ongala
2:Awe jimama yani nalichinjilia mbali!
3:Awe ameweka picha yeyote ya...
Wanaume hebu tuwe na kikao kifupi hapa.
Hili tatizo la *kibamia* linaathiri saikologia ya wanaume wengi sana hasa zama hizi ambazo unaweza pata mpenzi alishakuwa na mabaharia kama 20 hivi so ni...
Kama una mke au mpenzi anaimba kwanya hizi za kanisani basi andikia maumivu, wale walimu wa zile kwaya bwana wanakula sana wanawake wetu
Kuna kwaya moja ya kanisa la sabato huwa wanafanya mazoezi...
Ni kuwa mke wako amesahau ku charge simu, yuko field hivyo hakuna sehemu ya kucharge simu mpaka jioni.
Kuliko akose mawasiliano unaweza kumpa simu yako yenye full battery aende nayo kazini wakati...
*YOUR WIFE*
_*19 ways to fix your wife - before/when she is falling apart!*_
_Your wife can be dying in silence while still performing her wifely duties._
_you will need to know her to know...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.