DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
Umeshawahi Kuwaza ARVs zingekuwepo Miaka ya 80,90 Mwanzoni wa 2000 zingeokoa Maisha Ya Watu wangapi. ?
Raymond Titus Nyagori, binamu yangu niliempoteza Kwa HIV miaka 16 iliyopita, Ray was smart shuleni alikuwa namba 1 kila siku mpaka Tunamuonea wivu Sababu Alipendwa Sana na Bibi Yetu He was One of my favorite brothers, (cuzo)
Alikua akiishi Arusha na Baba Na Mama Yake na Wadogo zake 2. Mama ake Ray, (Aunt yangu) alikuwa Mgonjwa na kipindi chote anaumwa anapona Anaumwa anapona Hakuna aliekuwa akijua kama Ameathilika,
Ray alikuwa karibu sana na Mama Ake, Ray alikua anamuhudumia kwa Ukaribu Mama Ake hata alikua anaweza Mkata kucha Mama ake na Yeye akatumia Kiwembe kicho hicho kujikatia kucha zake.
Aunt alipojifungua Mtoto wake 3 aliumwa sana akafariki na Kumuacha Mtoto wake wa 3 mdogo ake wa Mwisho na Ray akiwa na Miezi 7, miaka hiyo kama Watoto tulikua hatuambiwi kwa Uwazi Juu ya Ugonjwa Huo.
Ray alikuja Dar Baada ya kuanza Kuumwa umwa Mara Kwa Mara. alikuwa form 1 anaelekea Form 2 lakini hakuweza Kwenda Shule Kwani Hali yake Ilikuwa inabadilika Badilika mno, Ray alikaa Nyumbani Mwaka Mzima bila Kwenda Shule.
kazi Yangu Kubwa Ilikuwa ni kumletea Madaftari nikirudi Likizo asome, na alikua akinifundisha vitu ambavyo sielewi japo yuko nyumbani alikua bado anaweza kusoma Na Kunisaidia Masomo mimi ninae enda Shule Kila Siku.
Acknowledgement.
Story hii ni kisa cha kweli kama ilivyosimuliwa na mwanadada mmoja.
Uzi tayari.