Ninini hiki kinatokea duniani?

Ninini hiki kinatokea duniani?

Status
Not open for further replies.

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
370,742
Reaction score
858,458
Ni tsunami ya kutoweka kwa wanaume kamili... Ulaya tayari wanapumulia mashine.... Hakuna wanaume kamili tena... Wanaume waliopo nao wanahitahi wanaume
Baada ya kuacha asili nichukue mkondo wake... Wao wakaja kuwatungia watu sheria za mahusiano... Baada ya hapo ile ladha ya upendo ikatoweka... Zikabaki sheria na kanuni
Kama unampenda usiwe na mwingine
Kama unampenda ukitoka naye mshike mkono
Kama unampenda lazima umtoe out
Kama unampenda lazima umnunulie vitu vya gharama
Kama unampenda basi sherehe za kuzaliwa, honey moon, anniversary na Valentine lazima mfuko utoboke
Ni lazima umsaidie shughuli mbalimbali za nyumbani
Na ikitokea siku shetani akakupitia ukachepuka akajua, basi hata uombe msamaha vipi husamehewi na kifuatacho ni talaka... Worse enough mtagawaa pasu kwa pasu kilichopo
Ikawa si mapenzi wala upendo wa asili tena... Ikawa si kufanya jambo naturally kwa upendo na mahaba bali kanuni zinakulazimu kufanya
Kanuni na sheria hizi zikaleta stress kubwa kwa wanandoa.... Ndoa zikaanza kuvunjika... Mahusiano mengi yakafa...

Wakaletewa kitu kipya sasa... Ndoa ama mahusiano ya mkataba... Hakuna mapenzi ya dhati hapo kuna matamanio tu huku kanuni za kisheria zikiwaongoza... Baada ya mkataba kwisha kila mmoja anajua lwake... Hata kama unampenda mwenzio bado lakini mkataba wenye vigezo na masharti mengi hauruhusu....

Mmh wakalipokea kwa fujo wakidhani ndio mkombozi... Kwamba ikitokea mmoja kazingua basi mnarudi kuangalia mkataba unasemaje...
Mapenzi ni pepo ya asili ya siri... Hayapangwi wala hayapangiwi kanuni.. Hujiendesha yenyewe juu ya ufahamu wa sheria na kanuni za kutungwa na binadamu asiye mkamilifu

Hili la mikataba nalo likaangukia pua... asili ikawa bado inadai mkondo wake... Utafiti wa kibidamu ukafanywa tena ikaonekana kuna tofauti kubwa kati ya wanaume na wanawake hivyo ni ngumu kuishi pamoja kwahiyo ikawa sasa ni rasmi mwanaume ni ruhusa kulala na mwanaume mwenzake yani kuwa na mahusiano ya kingono.... Ushoga ukashamiri... Wanawake kuona hivyo nao wakalipa kisasi wakageukiana wao kwa wao usagaji ikawa ndio habari ya mujini.... Wakatengenezewa na midoli ya uume..wakajipa na raha

Lakini asili ni asili tuu yote hayo yamepita... Bado asili inadai urijali asilia wa kweli sio viagra, sio dirdo, sio vumbi la Kongo.... Watapataje hii kitu? Wanaume rijali hakuna tena...
Sasa fasheni sasa hivi ni wanyama wa kiume... Mashoga wamekimbilia huko wanawake wametimkia huko... Kuna mfanano na asili lakini si asili kamili... Likiisha hili nini kitafuata?
Je hawa wanyama wa kiume nao wakigeuka mashoga? Ngachoka kabisa na hii dunia
 
Nimependa hapo ( Mapenzi ni pepo ya asili ya siri )

Kujikuna tu inakuwaga kasheshe sasa mtu anakubalije kuingizwa mkuyenge[emoji48][emoji48]

Tumeletewa sabuni zinaitwa Rungu mtu anapakaa sabuni takoni aseeee
Tumeletewa sabuni zinaitwa Rungu mtu anapakaa sabuni takoni aseeee [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Tukiendelea Sana kama wazungu tunaadapt tabia zao Bora tulivyokuwa maskini enzi zile za Karne ya 18 Ila wanaume walishindana kuua simba
 
Dunia inazunguka kwa kasi sana.
Ni zaidi ya hatari.
Mwaka 2001 niliwahi kununua vcd ya wanyama na binadamu... Nilichokiona kilinitisha mno ni vcd by then ziikuwa mbili kila moja ina masaa 9
Moja ilikuwa ni mashoga tupu na wanyama kama Mbwa, punda, dubu na sokwe na nyingine ilikuwa ya wanawake tupu na wanyama hao hao
Imagine CD za masaa 18 na walikuwa ni wanaume kwa wanawake wa mataifa mbalimbali... Sijui ilichukua muda gani kutengenezwa na washiriki walilipwa kiasi gani.. Kuna baadhi ya wafrika ulikuwa unaona kabisa wanazidiwa lakini wanavumilia...
Leo hii ni fasheni
 
Tukiendelea Sana kama wazungu tunaadapt tabia zao Bora tulivyokuwa maskini enzi zile za Karne ya 18 Ila wanaume walishindana kuua simba
Siku hizi wanashindana makeups
tapatalk_1562393605320.jpeg
tapatalk_1562383241658.jpeg
 
Naona hii wiki umejikita zaidi kwenye masuala ya kijamii has a suala la mahusiano na ndoa....
 
Na mimi huwa nawaambi watu ya kuwa hakuna jambo rahisi kama kurudi kwenye ASILI,lakini wao wanajitoa ufahamu na kujitia wajuaji.
 
Nadhani haya yote yanasambazwa sana na yanapigwa msasa na mataifa makubwa makubwa haswa ya magharibi kama USA ambako ndipo kumeshamiri upumabavu huu.

Sasa nataka kusema nini hapa!? Kwa mawazo yangu; miaka ya hivi karibuni tangu ushindani wa kiteknolojia ulipoanza ndipo vitendo hivi vinazidi kunawiri zaidi. Mimi sidhani kama yametokea tu haya mambo from no where. Ninasikia kuna hawa viumbe ALIENS wanaoishi nje ya sayari yetu ama ulimwengu tunapoishi wamekamatwa kadhaa huko nchi za magharibi na wamekuwa wanawasaidia sana hasa katika ugunduzi mpya wa kiteknolojia katika nyanja mbalimbali na hata kivita.

Hizi ni sheria na makubaliano waliojiwekea kati yao ili waendelee kuwapa hawa wamarekani teknolojia hizo mpya ambazo hatuzifahamu bado ila katika sayari zao zinatumiaka sana na niwazoefu.

Watu kubadilishwa kuwa magay na malesbians usishangae miaka ijayo uzao wa binadamu ukapungua kutokana na haya mambo ikawa ni njia rahisi kwa hawa ALIENS kuvamia dunia kuwa makazi yao mapya na tukashindwa kuwazuia kwa sababu ni muda sasa wameanza kujiandalia nafasi nzuri za teknolojia zao hapa duniani na sijui kama tunaweza kuzitumia kwa ufanisi mkubwa sana kuliko wao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom