Wakuu, naombeni kuuliza, hivi inakuwaje mpaka mtu kufikia hatua ya kutangaza anatafuta mchumba, mke, mume(rare) mtandaoni, hii ina maana gani? kwa wale mliotangaza mkafanikiwa naombeni ushuhuda...
Hivi kwa mtazamo wako tu, unamchukuliaje demu ambaye ana tabia kami hizi na anadai anakupenda kwa dhati na ukimwambia ajirekebishe anaomba msamaha na kuahidi harudii tena ila baada ya muda...
Jana sina ramani nimetulia zangu maskan, nikasema ngoja niende kwa mwanangu zizzou kipande cha 88 stand Dom, jamaa anaoneshaga movie, charging na vifaa vya simu kuuza, nikachukua zangu boxer ya...
Nimeumia sana. Sijawahi kumpiga mtoto wangu ila aliniudhi nikajikuta nampiga kibao. Nimelia mimi, inauma sana.
Sijui wengine mnawezaje ila naumia sana. Wanawake ni wa kuheshimu sana maanamimi...
Ukweli ni kwamba kutokana na ongezeko la social Media ni kwamba mwanamke mmoja anatongozwa na wanaume kuanzia watano minimum!na kuondelea 10etc,na wote wanakuja na some message I love so much!,kwa...
Wakati naweka bandiko kule love connect kua natafuta mwanamke Mzuri, kuna watu walidhani ni masihara, lakini nashukuru mungu nimempata niliemtaka.
Sikudhani kama JF kuna wadada wazuri kiasi...
Mwaka jana July nilikutana na mtoto katika pilikapilika za saba saba, naposema mtoto ni mtoto kweli, anazo sifa zote za kumfanya mwanaume adate kwake.
Mimi kama mwanaume pia ikanibidi nidate...
Kwa wanawake...plzzzz tunaomba mtueleze ni kitendo gani cha kukuumiza kuliko vyote ulivyowahi kufanyiwa na mpenzi, x au mume wako...
Wanaume someni coments muone ushetani mnaoufanya kwa wanawake...
Yaani daimond kawapa wanawake 3 mimba ambao ni mastaa wa east africa nikidume eti.
Kwa manaa ukishampa mwanamke mimba hana ujanja tena nyie nimaisha yenu yote mutakuwa kith kimoja kisa mtoto au...
Wanawake wa skuizi wako vizuri kutupanga sie wanaume kuriko ata tunavyowapanga
Kama mwez umepita nimeona dem mzr na mzee flan hv
Kumfata dem kumbe yuko na yule mzee bna
Mzee ana kama miaka 50...
Mimi ni mwanamke wa miaka 27,sijaolewa,Sina mtoto,Sina mpenzi,nimepanga naishi na mdogo wangu mmoja yuko kidato cha nne sasa.
Tatizo langu ni moja tangu nianze kujihusisha na mapenzi napata...
Haya ni makosa matatu tunayofanya sisi wanaume [sio wa kinondoni] pindi tunapomtongoza mwanamke!
Kosa la kwanza liepuke usimuulize mwanamke Kama yupo single ama ana mtu!kwani akikwambia ana mtu...
Yalinikuta nikiwa mwaka wa kwanza chuo. Tulikuwa na group la marafiki wanne na sisi ndiyo tulikuwa hot enzi hizo. Tulikwenda kanisani pamoja na ku hang out pamoja. Tuliachana muda wa madarasa...
Sisi wanaume [sio wa kinondoni] tumetofautiana namna tunavyotamani ama kupenda mwanamke!
Kitu cha kwanza kinachonishawishi nikikutana na mwanamke sehemu kwanza ni muonekano(muonekano huongeza...
Wandugu nahisi ninatatizo kwasababu kila msichana nitakae fanyanae mapenzi lazima apate mimba yani hata kama anajulikana ni mgumba.
Nikitumia kinga na ikatokea imetoboka bahati mbaya ujue ni...
Habari yenu ndugu jamaa na marafiki mliopo ndani ya Jf.,
Nia na madhumuni ya kuandika uzi huu, nihitaji la msingi kabisa ambalo kila binadamu aliyekamilika lazima alitimize.
Mim ni mhitimu wa...
Naona kuna picha zinasambaa mama mmoja anasema wanaume wanafika kileleni dakika ya pili ya mechi sasa kufika kileleni mapema ni dalili kwamba nguvu zako zipo karibu au zipo mbali maana hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.