Siku Ya Plan Z Kukusanya Mahitaji Yenu.

Siku Ya Plan Z Kukusanya Mahitaji Yenu.

plan z

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
1,395
Reaction score
1,439
Hi guys, i hope mko poa. La leo lililonileta ni kukusanya mahitaji yenu ni mada zipi mnataka au ni maswali yapi mliyonayo mnayohitaji ufumbuzi au majibu, yanayohusiana na jukwaa hili, then kupitia comments zenu nitajua nini mnahitaji, na kila wazo nitalifanyia kazi nami nitaandaa thread ambazo zitajibu hayo maswali na maoni au hoja n.k

Uwanja ni wenu. Fungukeni msiogope
 
Mi mwenyewe nahitaji maana huwa nashindwa kuanzisha uzi kwa kukosa tittle. Yaani huyu anataka atumie akili zetu [emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom