Mchumba baade aje kuwa mke anahitajika

mawindo

Member
May 18, 2018
66
104
Mchumba baade aje kuwa mke anahitajika.
Sifa zake..
Umri miaka 22--35
Kabila lolote
Makazi-Dar es salaam
Akiwa mnene itapendeza zaidi
Rangi yeyote
Elimu kuanzia kidato cha 4
Mrefu au mfupi vyote ni sawa tu

Sifa zangu
Miaka yangu ni 31
Makazi Dar es salaam
Mfanyabiashara

Karibuni sana..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom