Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Japokuwa wamejitokeza wanasayansi uchwara kwa kusema ukila baadhi ya vyakula fulani unanenepa kupita kiasi sasa sisi team vimbambau tunapingana vikali ni utafiti huu!yaani sisi wengine hata tunywe mafuta Lita 5 kila siku na nyama kilo tano kila siku hatunenepi hata kwa bahati mbaya!
Hata tukikesha gym still tunakomaa tu ila wembamba wa reli upo pale pale!
Ndio maana nikasema sisi wengine tumeumbwa automatically wembamba kiasili
Hata tukikesha gym still tunakomaa tu ila wembamba wa reli upo pale pale!
Ndio maana nikasema sisi wengine tumeumbwa automatically wembamba kiasili