Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kumekuwa na kawaida ya kulipa mahari wakati wa kuoa. Mahari hiyo hulipwa na mwanaume kwa mujibu wa tamaduni za kiafrika. Ulipaji huu wa mahari hufanya ionekane kuwa mwanamke ananunuliwa. Sasa si...
1 Reactions
659 Replies
100K Views
Nahitaji kuwa na rafiki mmoja wa kike umri usizid 30 years mwenye focus nzuri ya kimaisha na mwenye kuona mbelee..!! Km uko interested nichek kwa 0652835872
1 Reactions
2 Replies
914 Views
Good morning guys, Nijielekeze kwenye mada ya leo, Kumekuwa na ulalamishi sana miaka ya karibuni kuwa wanaume sijui tupoje,tunawaacha bila sababu ila kumbe sababu zipo tu ila wengi hawajazijuaga...
4 Reactions
48 Replies
7K Views
Miaka ya zamani kipindi ninakuwa ilikuwa ukimtongoza mwanamke mpaka anakuja kukubalia basi unaweza kutumia hata miaka mitatu unafatilia jibu lako mpaka anakuja kukubaliaa. Sio hivyo tuu...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Za kuamka wakuu, Muda si mrefu nimetoka kuamka ile natoka nje tu Nimeopoa manzi moja makini ilikuwa hapo nje nyumba ya jirani sijui imefika lini,nimeipanga imeshapangika baadae itakuja gheto...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Hello everyone, Mimi ni new member hapa. Nafurahi kujiunga nanyi. Ni Mtanzania japo nimeishi Ulaya tokea nikiwa mdogo na nina residence ya Ulaya na ya Tanzania pia. Nilikuwa na mchumba mzungu, ila...
7 Reactions
298 Replies
25K Views
Wanaume wengi huwa na sababu nyingi mbalimbali za kuoa. Lakini inawezekana ikawe moja au zaidi ya moja ambayo ni ya msingi. Mimi nlikuwa nazo kadhaa. Baada ya kuranda randa miaka kadhaa nikikataa...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Najitabiria kuwa sito oa wala kuishi na side chick au main chick kwa namna yeyote katika utafutaji wangu wa harakati za hapa na pale na mahusiano niliyo yapitia kama members wezangu si ta wahi...
2 Reactions
45 Replies
3K Views
Mimi kijana me Umri 20 to 25. Toka kubalehe kwangu 94% ya maisha yangu ni singo. Nipo chuo pia nimejiajiri hivyo nina bize nyingi sana. Pale nikipata muda wa kupumzika tu, huzuni ya upweke...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Jambo unalichukulia vipi wadau kuanza kumnunulia demu vi zawadi vya hapa na pale kabla hata hajakukubali kuwa boyfriend wake!? Kwangu Mimi no cent hadi kieleweke! Je?wewe unaweza?
2 Reactions
46 Replies
6K Views
Hivi ni kwanini akina dada hawapendi kutusifia sisi wanaume!?kwani sisi wanaume sio wazuri?hatunamvuto? hawatupendi? hivi ni kweli mwanaume anaestahili sifa kwa mwanamke ni mwenye pesa tu, !? Sisi...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Za Asubuhi Mazee.. Ukweli usiopingika sasa ivi kila ukienda sehemu ukiwa na sura nyororo kama akina Perfecto, Bob Junior, Ommy D n.k watu lazima wawe na mashaka na wewe hata kama sio kweli...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama tunasafari ya pamoja inabidi mmoja wetu atangulie.. Kwa sababu tukiongozana pamoja watu wanamshangaa sana na wengine wamefikia hadi hatua ya kuniambia kuwa siendani na mke wangu.. Kwani ni...
11 Reactions
76 Replies
8K Views
SITAKI DAWA Jumamosi, 25/06/2016 Nawaza nianzie wapi kuelezea kilichonikuta nashindwa, lakini hasa ni kukosa maneno ya kukielezea. Nimetamani nikae kimya, nisiseme, maana ninafahamika na wengi...
60 Reactions
579 Replies
70K Views
Currently married, am curious,who is responsible to select names of offsprings
0 Reactions
3 Replies
806 Views
Habarini Wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada, Speaking honestly kwa ninayoyaona na kuyasoma kuhusu Ndoa yananikatisha tamaa na kunifanya niwe negative minded though we all know kwamba ndoa ni...
2 Reactions
68 Replies
8K Views
bado natafuta
0 Reactions
5 Replies
925 Views
Jamani nilisahau kuwaambia nilioa mwezi wa kumi na mbili. Nimeona nitulie tu maana hizi papuchi haziishi utamu kadri unavozila ndio unapata hamu zaidi. Sasa najiuliza ni mwanzo tu au nitegemee...
3 Reactions
124 Replies
17K Views
nakuambia ndoa ni raha sana asikuambie MTU Mimi Nina mwaka wa kumi na moja kwenye ndoa lakini furaha yetu ni kama siku ile ya kwanza full utani na kupendana sana. Siri ni moja tu kushika dini yenu...
25 Reactions
47 Replies
5K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nipo afrika ya kati nafanya biashara natafuta mchumba nyumbani tz Sifa zake 1.awe anajielewa 2. Awe mkristo 3.ata km Ana mtoto 1 sio mbya maana ata mimi ninae.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom