Mwanamke anayenivutia kwa Mara ya kwanza kabisa!

Mwanamke anayenivutia kwa Mara ya kwanza kabisa!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Sisi wanaume [sio wa kinondoni] tumetofautiana namna tunavyotamani ama kupenda mwanamke!
Kitu cha kwanza kinachonishawishi nikikutana na mwanamke sehemu kwanza ni muonekano(muonekano huongeza uwezokano)
Kama atakuwa na muonekano mzuri sio lazima awe ana chura wala nini Bali aonekane ni mwanamke msafi hiyo ni point namba moja!

Point namba mbili Je?ananukia vipi!kama atakuwa hana harufu nzuri mfano harufu ya jasho ama vipodozi kama carolight na ujinga ujinga mwingine habari ndio itakuwa imeishia hapo ile shauku yote inapotea!

Point namba tatu inategemea huyo mwanamke anaongea vipi!kama ni mropokaji ama huongea vitu vya ovyo ama hana uwezo wa kujibu maswali ya msingi ama kujielezea yeye binafsi anataka nini!!
Mwanamke kama huyo siwezi kuvutiwa nae kutoka kimapenzi!

Mimi binafsi sijabase sana kwenye shepu ya mwanamke awe kimbaumbau Mimi fresh tu,awe mweupe ama mweusi fresh tu ila asiwe mfupi sana ama mrefu kunipita ama mnene kupitiliza!
Ila nazingatia vigezo vyangu ni vitatu tu ili mwanamke anivutie kwa Mara ya kwanza ni Muonekano,Jinsi anavyonukia na Jinsi anavyoongea!
N:B sitafuti mchumba wala Mke
 
Sipendi mwanaume mweupe
Sipendi mwanaume mropokaji/muongeaji sana
Sipendi mwanaume mfupi ama anayelingana na mimi
Sipendi mwanaume mwenye kitambi
Sipendi mwanaume asiye shabiki wa mpira
Sipendi mwanaume mnene
Sipendi mwanaume anayetumia manukato yoyote wala anayenuka

NB:Sitafuti mume wala mpenzi​
 
Hapo kwenye manukato ndio nitakapo angukia pua.
Sipendi mwanaume mweupe
Sipendi mwanaume mropokaji/muongeaji sana
Sipendi mwanaume mfupi ama anayelingana na mimi
Sipendi mwanaume mwenye kitambi
Sipendi mwanaume asiye shabiki wa mpira
Sipendi mwanaume mnene
Sipendi mwanaume anayetumia manukato yoyote wala anayenuka

NB:Sitafuti mume wala mpenzi​
 
Mwanamke ambaye havai chupi ananivutia sana hasa akiwa na dira
 
Sipendi mwanaume mweupe
Sipendi mwanaume mropokaji/muongeaji sana
Sipendi mwanaume mfupi ama anayelingana na mimi
Sipendi mwanaume mwenye kitambi
Sipendi mwanaume asiye shabiki wa mpira
Sipendi mwanaume mnene
Sipendi mwanaume anayetumia manukato yoyote wala anayenuka

NB:Sitafuti mume wala mpenzi​
Hiv kwa nini hampendagi wanaume weupe?
 
Sipendi mwanaume mweupe
Sipendi mwanaume mropokaji/muongeaji sana
Sipendi mwanaume mfupi ama anayelingana na mimi
Sipendi mwanaume mwenye kitambi
Sipendi mwanaume asiye shabiki wa mpira
Sipendi mwanaume mnene
Sipendi mwanaume anayetumia manukato yoyote wala anayenuka

NB:Sitafuti mume wala mpenzi​
Umejibu vyema kulingana na uzi
 
Na pia mwanaume wa hivyo hayupo duniani
Sipendi mwanaume mweupe
Sipendi mwanaume mropokaji/muongeaji sana
Sipendi mwanaume mfupi ama anayelingana na mimi
Sipendi mwanaume mwenye kitambi
Sipendi mwanaume asiye shabiki wa mpira
Sipendi mwanaume mnene
Sipendi mwanaume anayetumia manukato yoyote wala anayenuka
NB:Sitafuti mume wala mpenzi​
 
Sipendi mwanaume mweupe
Sipendi mwanaume mropokaji/muongeaji sana
Sipendi mwanaume mfupi ama anayelingana na mimi
Sipendi mwanaume mwenye kitambi
Sipendi mwanaume asiye shabiki wa mpira
Sipendi mwanaume mnene
Sipendi mwanaume anayetumia manukato yoyote wala anayenuka

NB:Sitafuti mume wala mpenzi​

a). Napenda mwanamke mweupe.

b). Napenda mwanamke mwembamba(naangaliaga kifua asee, napenda madogoo).

c). Napenda mwanamke shabiki wa mpira sio wa Simba na Yanga, asipokua nitamfundisha mpaka ashabikie Arsenal

d). Sipendi wala sitaki mwanamke mwenye mikalio wanayotaka watu
 
Sipendi mwanaume mweupe
Sipendi mwanaume mropokaji/muongeaji sana
Sipendi mwanaume mfupi ama anayelingana na mimi
Sipendi mwanaume mwenye kitambi
Sipendi mwanaume asiye shabiki wa mpira
Sipendi mwanaume mnene
Sipendi mwanaume anayetumia manukato yoyote wala anayenuka

NB:Sitafuti mume wala mpenzi​
Japo hutafuti mume ila naona kama unanipenda Mimi kwa mujibu wa hii comment.
 
Back
Top Bottom