Kila nitakae mpitia lazima apate Mimba

Kila nitakae mpitia lazima apate Mimba

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,891
Reaction score
2,796
Wandugu nahisi ninatatizo kwasababu kila msichana nitakae fanyanae mapenzi lazima apate mimba yani hata kama anajulikana ni mgumba.

Nikitumia kinga na ikatokea imetoboka bahati mbaya ujue ni mimba. Hii inatokea hata kama msichana hayupo danger days sasa najiuliza hii inatokana na nini?
 
Utakuwa na vijisenti, bhaaas! Wanafanya makusudi, labda huwajui wanawake! Ni mtego huo. Huwa wanakwambia tu, au unawapimisha au wanajifungua watoto wanafanana nawe au DNA zaonyesha we ndo msee? Na wagumba pia?? Mazee, we kukumdogo ni 'jogoo' kweli kweli.
 
Last edited by a moderator:
Kwaiyo unazilea, unaziua au unazikimbia??? ushawapa wangapi na una watoto wangapi hadi sasa mkuu??
 
So uwa unatembelea rim lazima ipinde mkuu vaa mpira utakufa
 
Jidai tu hapa, utakuta mtu mwenyewe jogoo la kuchora tu mimba wanaweka wengine!!!!
 
Naamini wewe kondomu huzijui na hizo mimba anabambikiwa tu.
 
Hili ni tangazo kwa wanawake wagumba wewe kama wale waganga wa kienyeji niamini mimi
 
Eti hata wagumba?!!acha kujipa promo....
Sio Promo Jestina ni kweli kabisa kuna kama watatu hivi tena wanajulikana lakini walivyo kuja baada ya mda wakapata matokeo kwakweli
 
Last edited by a moderator:
labda kama unatoa sperm na mayai pamoja, hongera lakini hizo mimba huwa zinakua kwel? ulianza lini mtoto wako wa kwanza ana umri gan? ni mzima au anakasoro?
 
Hongera baba watoto, fungua kituo cha kuwapa mimba wanaohitaji coz wapo weng sana
 
Wandugu nahisi ninatatizo kwasababu kila msichana nitakae fanyanae mapenzi lazima apate mimba yani hata kama anajulikana ni mgumba. Nikitumia kinga na ikatokea imetoboka bahati mbaya ujue ni mimba. Hii inatokea hata kama msichana hayupo danger days sasa najiuliza hii inatokana na nini?
Una Miaka mingapi?
 
Hahahaha hata wagumba mimba pap! Labda utakuwa umeletwa duniani kuokoa wagumba mzee wa mbegu(mzee wa kikombe duuh
 
Back
Top Bottom