Upendo wa kweli hupimwa vipi!?

Upendo wa kweli hupimwa vipi!?

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,107
Ukweli ni kwamba kutokana na ongezeko la social Media ni kwamba mwanamke mmoja anatongozwa na wanaume kuanzia watano minimum!na kuondelea 10etc,na wote wanakuja na some message I love so much!,kwa jinsi navyoona inakuwa ni ngumu kuamini yule ni yupi na yupi anamaanisha!!
Hapa ndio linakuja suala na uchumi,ili mwanamke oane unamjali ni lazima may be umtoe out,ama kumnununulia zawadi ama kumjali kwa vitendo!

Sasa utamnunulia vipi zawadi kama hauna pesa!?,utamtoa vipi out kama hauna pesa?,utamjali vipi kwa vitendo kama huna chochote cha kumpa zaidi ya kumwambia I love you!?

Walah!kwa vile Mimi ni bahili nimejikuta tu roho inaniuma!

Money is not everything but is a only thing!
 
Mwanamke anatongozwa kila siku awe kaolewa au lah; wanawake wamepewa uwezo na kipekee kujua mwanaume yupi mkweli na yupi ana shida ya kula na kusepa.
 
Sio kweli, ndio maana mwanamke ukimdanganya anadhani ni kweli na ukimwambia ukweli anadhani ni uongo
 
Mwanamke anatongozwa kila siku awe kaolewa au lah; wanawake wamepewa uwezo na kipekee kujua mwanaume yupi mkweli na yupi ana shida ya kula na kusepa.
Nigga you are trying to live in a fantasy world and not the real world
 
Love doesn't have a limit in anything including cash !!

You just need to use ur cards properly. Ishi na mkeo kwa akili.
 
4 Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni;

5 haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya;

6 haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli;

7 huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.
 
Ukweli ni kwamba kutokana na ongezeko la social Media ni kwamba mwanamke mmoja anatongozwa na wanaume kuanzia watano minimum!na kuondelea 10etc,na wote wanakuja na some message I love so much!,kwa jinsi navyoona inakuwa ni ngumu kuamini yule ni yupi na yupi anamaanisha!!
Hapa ndio linakuja suala na uchumi,ili mwanamke oane unamjali ni lazima may be umtoe out,ama kumnununulia zawadi ama kumjali kwa vitendo!

Sasa utamnunulia vipi zawadi kama hauna pesa!?,utamtoa vipi out kama hauna pesa?,utamjali vipi kwa vitendo kama huna chochote cha kumpa zaidi ya kumwambia I love you!?

Walah!kwa vile Mimi ni bahili nimejikuta tu roho inaniuma!

Money is not everything but is a only thing!
Kwa matendo yake.
Mimi naweza chart na wengi ila mmoja au hamna hata mmoja kweli nipo serious naye why matendo yao ni hafifu.
Hawana ile nia yakukupenda wote wanania yakukuchezea kabisa .
So usione watu wamo humu ndani ukazani ndio uhalisia wao mimi humu au pengine asilimia kubwa inaishia kwenye simu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom