Makosa matatu tunayofanya sisi wanaume!

Makosa matatu tunayofanya sisi wanaume!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,107
Haya ni makosa matatu tunayofanya sisi wanaume [sio wa kinondoni] pindi tunapomtongoza mwanamke!

Kosa la kwanza liepuke usimuulize mwanamke Kama yupo single ama ana mtu!kwani akikwambia ana mtu itakuwa imekukata ki dizaini flani!pia kuna wengine huwa wanakukataa kwa style hiyo!
Cha msingizi show care,show love,show as you're gentleman ataamua mwenyewe kama atakuwa single ama lah!

Usikumbushie ama kuuliza jibu la mtongozo!kama akikubali kutoka night dinner na wewe ama kwenda kucheki cinema night au anakubali kuja home kukutembelea hapo unataka jibu la nini!!?nyang'au! wewe

Kuomba mchezo(sex)!kuna wanawake hawapendi kuambiwa moja kwa moja njoo to do! Bali inabidi mwenyewe umtengenezee mazingira amazing akiingia imo!!

Team wanaume [sio wa kinondoni] tumeelewana Nadhani.
 
Nyang'au tena??

Poa najirekebisha bro, nilikua sijui ila mimi sio nyang'au[emoji3][emoji3]
 
Una care love tu ikiwepo nakumpeleka nakumsomesha kabisa. jamani mmemsikia mwanaume mwenzetu?
 
Haya ni makosa matatu tunayofanya sisi wanaume [sio wa kinondoni] pindi tunapomtongoza mwanamke!

Kosa la kwanza liepuke usimuulize mwanamke Kama yupo single ama ana mtu!kwani akikwambia ana mtu itakuwa imekukata ki dizaini flani!pia kuna wengine huwa wanakukataa kwa style hiyo!
Cha msingizi show care,show love,show as you're gentleman ataamua mwenyewe kama atakuwa single ama lah!

Usikumbushie ama kuuliza jibu la mtongozo!kama akikubali kutoka night dinner na wewe ama kwenda kucheki cinema night au anakubali kuja home kukutembelea hapo unataka jibu la nini!!?nyang'au! wewe

Kuomba mchezo(sex)!kuna wanawake hawapendi kuambiwa moja kwa moja njoo to do! Bali inabidi mwenyewe umtengenezee mazingira amazing akiingia imo!!

Team wanaume [sio wa kinondoni] tumeelewana Nadhani.
ww tafuta hela ulimtongoza sekondari akikuona atakuuliza yy unanijua ? Maana maisha na mapenz ndo. Vitu pekee visivyokua na Fomular maalum.
 
Baba la baba hapo kuna kuishia kuchunwa tu.
Demu akikuelewa hata ukitaka jibu lazima akupe na mtakwenda kiuwazi.
Lakini ukitaka hizo njia za panya, mala nyingi utaishia kujifilauni tu.
 
Eeewalaaaa!
Msisahau na pesa jamani, ni muhimu mnooo.
 
Kwa njia hizo wengi wao wakuweka katika kundi lijulikanalo kama FRIEND ZONE[emoji58][emoji58][emoji58]
 
Pongezi kwa serikali ya awamu ya tano
 
we kariri tuu.....utapiga nyeto mpaka kipande kidondoke...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom