Mwanaume kuwahi kufika kileleni mapema ni nguvu nyingi au nguvu chache

kimbweto

Member
Oct 6, 2012
53
189
Naona kuna picha zinasambaa mama mmoja anasema wanaume wanafika kileleni dakika ya pili ya mechi sasa kufika kileleni mapema ni dalili kwamba nguvu zako zipo karibu au zipo mbali maana hata sielewi maana hasa ya kuishiwa nguvu za kiume.kwasababu hata mechi ikirudiwa tena dakika ya pili ile ile linafungwa tena sasa hii maana yake nini nguvu haipo au nguvu ipo ila ina kiherehere.kipi kipimo cha nguvu za kiume kuchelewa au kuwahi
 
Inategemeana na mwanaume ni wa mkoani au DSM

Kama ni DSM ni upungufu wa nguvu za kiume
Naona kuna picha zinasambaa mama mmoja anasema wanaume wanafika kileleni dakika ya pili ya mechi sasa kufika kileleni mapema ni dalili kwamba nguvu zako zipo karibu au zipo mbali maana hata sielewi maana hasa ya kuishiwa nguvu za kiume.kwasababu hata mechi ikirudiwa tena dakika ya pili ile ile linafungwa tena sasa hii maana yake nini nguvu haipo au nguvu ipo ila ina kiherehere.kipi kipimo cha nguvu za kiume kuchelewa au kuwahi
 
Endeleeni kutairiwa na ganzi.....

Wadumu wamasai wanaotailiwa kiasili
 
Huyo bibi amekengeuka..
Anaropoka tuuu hana back up ya utabibu kabakia kupayuka tuu..

Vijana unapopiga game usijali mtu mwingine zaidi yako..kila moja ajitume,sio kutumishana..Ukimaliza unasepa zako
Hili povu au?
 
Huyo.mwanaume hampend ukiona anamwaga anakuwa kalala na Hawa Lakini hisia akiwa kwenye mapenzi anazivuta Kama kakumbatia Asha kipenzi chake Cha moyo.Wakati ana Hawa anaganya naye kimoyo moyo analia Lia Asha Asha unanipa Raha.Kwa hiyo huyo Hawa anamtumia tu Kama doli au sex mashini.Mwabaume was hivyo akiondoka hata ukimpigia simu huacha inalia tu na itajibu mteja unayempigia kwa Sasa hapatikani.Mwanaume mkojoa chap chap Hana mapenzi .Fanya utafiti kwa Wanawake wakueleze tabia mbaya za hao wanaume chap chap.Hawana mapenzi kabisa Ni magaidi
 
NGOJA TUKUSAIDIE TU MWANANGU ILA ULICHOANDIKA Duuuu..!!.

Muda sasa hali na mfumo wa maisha umebadirika sana, wanadamu wanakimbia huku na kule kutaka kurekebisha kama siyo kutafuta shs, uchumi na mapambano ya aina mbalimbali yanayogusa familia kupitia shilingi vinahusika.

Vyakula vya kibailojia, mawazo, mazoezi nk, vyote ukiunganisha vinakupa jibu moja tu.

Upungufu wa nguvu za kuimili tendo la ngono una mambo mengi sana na miongoni ndiyo hayo niliyotaja hapo.

Kubwa muwe na maandalizi kabla ya tendo na fuateni taratibu za maisha, kula kwa wakati tena chakula cha mbegumbegu, mazoezi na kupumzika.
 
Kusimamisha na kupiga mechi ndio nguvu za kiume huku mkoani tunapiga dk 45 round ya 1 round 2 dk 55 ukimpata dem wa dar lazima aseme una jini wamezoea vuvulana vwa huko dar dk 1 chali halafu vunachoka hatari kama vimebeba gunia la msumari
 
Huyo.mwanaume hampend ukiona anamwaga anakuwa kalala na Hawa Lakini hisia akiwa kwenye mapenzi anazivuta Kama kakumbatia Asha kipenzi chake Cha moyo.Wakati ana Hawa anaganya naye kimoyo moyo analia Lia Asha Asha unanipa Raha.Kwa hiyo huyo Hawa anamtumia tu Kama doli au sex mashini.Mwabaume was hivyo akiondoka hata ukimpigia simu huacha inalia tu na itajibu mteja unayempigia kwa Sasa hapatikani.Mwanaume mkojoa chap chap Hana mapenzi .Fanya utafiti kwa Wanawake wakueleze tabia mbaya za hao wanaume chap chap.Hawana mapenzi kabisa Ni magaidi
Lolol
 
Yes pale pale mnapowapiga ganzi watoto ili muwatahiri mnaanza kuuwa nguvu ya Ile mishipa ya uume.....

Chunguzeni watu wa zamani kwa nini hawakuwa na hii shida na kwanini wa sasa nyie mnasumbuka na hizi kesi
Unamaana ganzi inaharibu dushe?
 
Ji
Kusimamisha na kupiga mechi ndio nguvu za kiume huku mkoani tunapiga dk 45 round ya 1 round 2 dk 55 ukimpata dem wa dar lazima aseme una jini wamezoea vuvulana vwa huko dar dk 1 chali halafu vunachoka hatari kama vimebeba gunia la msumari
Jifunze kuandka vizuri ,kingine wanaume wanaomiliki uchumi wa nchi na mkuu wa wakuu wa mikoa yote wanatoa offa ya mahali m1 kwa ndgu , mtoto wako kike ,dada n.k
baada ya 4½ unaitwa mjomba
 
Back
Top Bottom