Mtoto mkaliii nimejipigia kiulaini...

Mtoto mkaliii nimejipigia kiulaini...

evonik

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
3,996
Reaction score
5,187
Jana sina ramani nimetulia zangu maskan, nikasema ngoja niende kwa mwanangu zizzou kipande cha 88 stand Dom, jamaa anaoneshaga movie, charging na vifaa vya simu kuuza, nikachukua zangu boxer ya suma, coz kaumia mkono na ana pop la kutosha tu hivyo ametulia tu kihom.

Nimefika pale tukawa tunapiga stories mbili tatu, kufukuza jua liondoke tukaribishe usiku, ghafla akaja mdada mmoja mzuri kweli, ukimuangalia tu usoni utakubali kuwa mtoto ni mkali , kwanza uso ni baby face wa ukwee, macho utadhani yanataka kuanguka, midomo yake ilivyo mizuri na rangi nyekundu yenye kupendeza kama rangi ya ile nyama iliyokatazwa na madaktari watu wenye magonjwa fulani, kifuani maziwa yamejaa mithili ya parachichi zinazokaribia kuiva. Maeneo ya kati sasa ilikuwa tabu tupu, kwa mwanaume aliye kamili Lazima amuangalie zaidi ya Mara mbili.

Basi akaja akawa anataka kuchaji simu sababu safarini chaji ilikata, hivyo angalau apate mawe kadhaa ya betri, wakati anachaji ikabidi nimchombeze kidogo, maana mwanangu zizzou hanaga habari sana na hawa viumbe, utadhan walimkata na kisu hivyo kabaki na jeraha, so akiwaona anatoneshwa kidonda. Nikamuliza binti jina, akanambia jina, kisha akanambia kuwa anatoka moja ya mkoa wa kanda ya ziwa, na amekuja jeshin kwani amechaguliwa kwa mujibu wa sheria kikosini mpwapwa kj sijui ngapi huko, anajua Sargent na major.

Nikamwambia kwani walochaguliwa si washaenda makambini akanambia na wao wanaenda pia, sijataka kumuuliza maswali sana maana mi sio muandikishaji wa kadi za mpiga kura au muandikishaji wa kitambulisho cha taifa.hivyo nakendelea kumchombeza kuhusu yeye na mengineyo mengi.

Nikamwambia kwa muda huu ulofika umechelewa sana kwemda kambini kwani ni takriban Masaa mawili kutoka hapa mjin hadi ufike huko, nikaendelea kumchombeza kumjua zaidi, nikamwambia bora ulale hapa, then kesho asubuhi uende tena moja kwa moja kambini. Nilimuona kazama katika dimbwi la fikra akiwaza nabkuwazua Baada ya kutafakari kwa kichwa chake na muda kidogi akanielewa akakubali.

Sasa maongez kuendelea kaanza kunielewa taratibu, ila sikutaka kumuonesha na njaa sana, Nikamwambia hizo nywele za kunyoa hiwezi ingia nazo kambini maana zilikuwa kaweka dawa na ni ndefu kwel za kupendeza. Nikamchukua huyoo hadi saloon kwa mudy sharo, pale napo kulikuwa na foleni kdogo, basi nikamuelekeza mudi, nikamuaga mtoto kuwa narud sio mda, nikatoka nikaenda kuweka mafuta shell maana Suma alinambia wese litakata sio muda mnene, basi nkaweka nkapitia kwa zizzou kumpanga kuhusu night itavokuwa.

Nikarudi kwa mtoto saluni nkakuta ananyolewa huku Analia,watu walikuwa si wengi kama watatu tu, mudi akawa anamgombeza kuwa asimitilie uchuro kwa kumlilia pale saluni, nikambembeleza anyamaze anyoe nikamwambia ni bora hapa unanyoa kwa machine kuliko ukifika kule watakunyoa kwa kiwembe cha mkono hivo utaumia zaidi, mtoto akapunguza kulia ila alikuwa anaumia kuona nywele zake zinanyolewa.

Baada ya pale muda ulisonga, mida ya sa 12 jioni tukawa tumeingia magetoni, nikamkaribisha kwa bashasha lote, akawa anacheka tu,
Nikaanza maandalizi ya chakula, kulikuwa na nyama ya mchuz tokea mchana imebaki, (vyombo navyo vichafu vilikuwepo lkn sio vingi na sufuria la ugali niloloweka), ile nyama nikaona isiwe tabu hiyo tutapasha tutakula na ubwabwa,
Nikabandika sufuria kuanza kupika, mtoto akawa anataka kupika nikamwambia tulia usijal,wewe bado mgen na isitoshe umechoka na safari, akatulia, wakti napika akawa ananidadisi tuswali twa hapa na pale, had kufiki kufikia sa mbili na dk zake chakula kilikuwa tayar.tukala vizuri baada ya kumchemshia maji akaenda kuoga, alivyomaliza kuoga nami huyo nikaenda kuoga.

Kufikia mishale ya sa tatu na, nipo kitandani mtoto kagoma kupanda kitandani yupo kwenye kiti kakaa, anasema ananiogopa, nikamwambia kwani mi nang'ata hadi unogope, bembeleza sana kupanda kitandani baadae akaona isiwe tabu akatafakari wema nlomtendea, akatii sheria mwenyewe bila shuruti. Akaja kitandani kila nikigusa anatoa mkono baadae akatulia, akakubali pia nimege na tunda msimu huu wa barid.

Asubuhi pakakucha kwa furaha nikimwangalia mtoto hadi raha. Akenda oga , nikamsindikiza huyo hadi stand, wakati tunaagana akaniomba namba ya simu nikamwambia simu mbovu,(ila niliificha asijue) hivyo sipo hewani nikamwambia kule simu hamtaruhusiwa, so Siku unakuja njoo kwa zizzou mweleze utanipata, basi nikamlipia nauli nikampa twenty akaondoka kwenda kambini, Nina imani keshafika salama.

Nawasilishaa
 
Duuh... Huyo manzi hafai mkuu.. Demu anaejielewa hawezi kukiwa ba stranger kiivo tena first day... Huyi siyo demu mkuu
 
Mwangu nenda Kwa mangi mwambie akupe Mirinda nyeuthi Icon Special Nakuja kulipa

[emoji32][emoji847][emoji41][emoji41]
 
Duuu
tapatalk_1560694230862.jpeg
 
Jana sina ramani nimetulia zangu maskan, nikasema ngoja niende kwa mwanangu zizzou kipande cha 88 stand Dom, jamaa anaoneshaga movie, charging na vifaa vya simu kuuza, nikachukua zangu boxer ya suma, coz kaumia mkono na ana pop la kutosha tu hivyo ametulia tu kihom.

Nimefika pale tukawa tunapiga stories mbili tatu, kufukuza jua liondoke tukaribishe usiku, ghafla akaja mdada mmoja mzuri kweli, ukimuangalia tu usoni utakubali kuwa mtoto ni mkali , kwanza uso ni baby face wa ukwee, macho utadhani yanataka kuanguka, midomo yake ilivyo mizuri na rangi nyekundu yenye kupendeza kama rangi ya ile nyama iliyokatazwa na madaktari watu wenye magonjwa fulani, kifuani maziwa yamejaa mithili ya parachichi zinazokaribia kuiva. Maeneo ya kati sasa ilikuwa tabu tupu, kwa mwanaume aliye kamili Lazima amuangalie zaidi ya Mara mbili.

Basi akaja akawa anataka kuchaji simu sababu safarini chaji ilikata, hivyo angalau apate mawe kadhaa ya betri, wakati anachaji ikabidi nimchombeze kidogo, maana mwanangu zizzou hanaga habari sana na hawa viumbe, utadhan walimkata na kisu hivyo kabaki na jeraha, so akiwaona anatoneshwa kidonda. Nikamuliza binti jina, akanambia jina, kisha akanambia kuwa anatoka moja ya mkoa wa kanda ya ziwa, na amekuja jeshin kwani amechaguliwa kwa mujibu wa sheria kikosini mpwapwa kj sijui ngapi huko, anajua Sargent na major.

Nikamwambia kwani walochaguliwa si washaenda makambini akanambia na wao wanaenda pia, sijataka kumuuliza maswali sana maana mi sio muandikishaji wa kadi za mpiga kura au muandikishaji wa kitambulisho cha taifa.hivyo nakendelea kumchombeza kuhusu yeye na mengineyo mengi.

Nikamwambia kwa muda huu ulofika umechelewa sana kwemda kambini kwani ni takriban Masaa mawili kutoka hapa mjin hadi ufike huko, nikaendelea kumchombeza kumjua zaidi, nikamwambia bora ulale hapa, then kesho asubuhi uende tena moja kwa moja kambini. Nilimuona kazama katika dimbwi la fikra akiwaza nabkuwazua Baada ya kutafakari kwa kichwa chake na muda kidogi akanielewa akakubali.

Sasa maongez kuendelea kaanza kunielewa taratibu, ila sikutaka kumuonesha na njaa sana, Nikamwambia hizo nywele za kunyoa hiwezi ingia nazo kambini maana zilikuwa kaweka dawa na ni ndefu kwel za kupendeza. Nikamchukua huyoo hadi saloon kwa mudy sharo, pale napo kulikuwa na foleni kdogo, basi nikamuelekeza mudi, nikamuaga mtoto kuwa narud sio mda, nikatoka nikaenda kuweka mafuta shell maana Suma alinambia wese litakata sio muda mnene, basi nkaweka nkapitia kwa zizzou kumpanga kuhusu night itavokuwa.

Nikarudi kwa mtoto saluni nkakuta ananyolewa huku Analia,watu walikuwa si wengi kama watatu tu, mudi akawa anamgombeza kuwa asimitilie uchuro kwa kumlilia pale saluni, nikambembeleza anyamaze anyoe nikamwambia ni bora hapa unanyoa kwa machine kuliko ukifika kule watakunyoa kwa kiwembe cha mkono hivo utaumia zaidi, mtoto akapunguza kulia ila alikuwa anaumia kuona nywele zake zinanyolewa.

Baada ya pale muda ulisonga, mida ya sa 12 jioni tukawa tumeingia magetoni, nikamkaribisha kwa bashasha lote, akawa anacheka tu,
Nikaanza maandalizi ya chakula, kulikuwa na nyama ya mchuz tokea mchana imebaki, (vyombo navyo vichafu vilikuwepo lkn sio vingi na sufuria la ugali niloloweka), ile nyama nikaona isiwe tabu hiyo tutapasha tutakula na ubwabwa,
Nikabandika sufuria kuanza kupika, mtoto akawa anataka kupika nikamwambia tulia usijal,wewe bado mgen na isitoshe umechoka na safari, akatulia, wakti napika akawa ananidadisi tuswali twa hapa na pale, had kufiki kufikia sa mbili na dk zake chakula kilikuwa tayar.tukala vizuri baada ya kumchemshia maji akaenda kuoga, alivyomaliza kuoga nami huyo nikaenda kuoga.

Kufikia mishale ya sa tatu na, nipo kitandani mtoto kagoma kupanda kitandani yupo kwenye kiti kakaa, anasema ananiogopa, nikamwambia kwani mi nang'ata hadi unogope, bembeleza sana kupanda kitandani baadae akaona isiwe tabu akatafakari wema nlomtendea, akatii sheria mwenyewe bila shuruti. Akaja kitandani kila nikigusa anatoa mkono baadae akatulia, akakubali pia nimege na tunda msimu huu wa barid.

Asubuhi pakakucha kwa furaha nikimwangalia mtoto hadi raha. Akenda oga , nikamsindikiza huyo hadi stand, wakati tunaagana akaniomba namba ya simu nikamwambia simu mbovu (kwel kam wiki na simu ilikuwa mbovu) hivyo sipo hewani nikamwambia kule simu hamtaruhusiwa, so Sikh unakuja njoo kwa zizzou mweleze utanipata, basi nikamlipia nauli nikampa twenty akaondoka kwenda kambini, Nina imani keshafika salama.

Nawasilishaa
UMENADI KUWA UMETENDA WEMA ILA KWA FURSA YA KUTAKA ULICHOPATA MPAKA KUFIKA HAPA JF KUJINADI NAONA KAMA INA UKAKASI HIVI. ILA ISIWE NONGWA UNA HAKI NA MAWAZO YAKO BINAFSI NA UHURU WA KUJIELEZA.

ILA ISIWE NDIO ZOEZI LAKO KUU LA KUSAIDIA JINSIA YA KIKE NAKUISHIA KUPATA ULICHOFURAHIA HAPA JF ZAIDI YA WEMA WAKO.

PEACE & LOVE
 
Juzi buana nimeona denge mbili kabisa uwanja wa Chato ya Magu na ya Kenyata

ilikuwa hivi ilishuka chiiiiiiiiii ikasimama Kenyata akashuka dah lile dege ni kubwa balaaa

Na mimi nimeona nilete story yangu maana kumbe siku hizi hata ukila ugali senene unakuja kusimulia humu JF
 
Jana sina ramani nimetulia zangu maskan, nikasema ngoja niende kwa mwanangu zizzou kipande cha 88 stand Dom, jamaa anaoneshaga movie, charging na vifaa vya simu kuuza, nikachukua zangu boxer ya suma, coz kaumia mkono na ana pop la kutosha tu hivyo ametulia tu kihom.

Nimefika pale tukawa tunapiga stories mbili tatu, kufukuza jua liondoke tukaribishe usiku, ghafla akaja mdada mmoja mzuri kweli, ukimuangalia tu usoni utakubali kuwa mtoto ni mkali , kwanza uso ni baby face wa ukwee, macho utadhani yanataka kuanguka, midomo yake ilivyo mizuri na rangi nyekundu yenye kupendeza kama rangi ya ile nyama iliyokatazwa na madaktari watu wenye magonjwa fulani, kifuani maziwa yamejaa mithili ya parachichi zinazokaribia kuiva. Maeneo ya kati sasa ilikuwa tabu tupu, kwa mwanaume aliye kamili Lazima amuangalie zaidi ya Mara mbili.

Basi akaja akawa anataka kuchaji simu sababu safarini chaji ilikata, hivyo angalau apate mawe kadhaa ya betri, wakati anachaji ikabidi nimchombeze kidogo, maana mwanangu zizzou hanaga habari sana na hawa viumbe, utadhan walimkata na kisu hivyo kabaki na jeraha, so akiwaona anatoneshwa kidonda. Nikamuliza binti jina, akanambia jina, kisha akanambia kuwa anatoka moja ya mkoa wa kanda ya ziwa, na amekuja jeshin kwani amechaguliwa kwa mujibu wa sheria kikosini mpwapwa kj sijui ngapi huko, anajua Sargent na major.

Nikamwambia kwani walochaguliwa si washaenda makambini akanambia na wao wanaenda pia, sijataka kumuuliza maswali sana maana mi sio muandikishaji wa kadi za mpiga kura au muandikishaji wa kitambulisho cha taifa.hivyo nakendelea kumchombeza kuhusu yeye na mengineyo mengi.

Nikamwambia kwa muda huu ulofika umechelewa sana kwemda kambini kwani ni takriban Masaa mawili kutoka hapa mjin hadi ufike huko, nikaendelea kumchombeza kumjua zaidi, nikamwambia bora ulale hapa, then kesho asubuhi uende tena moja kwa moja kambini. Nilimuona kazama katika dimbwi la fikra akiwaza nabkuwazua Baada ya kutafakari kwa kichwa chake na muda kidogi akanielewa akakubali.

Sasa maongez kuendelea kaanza kunielewa taratibu, ila sikutaka kumuonesha na njaa sana, Nikamwambia hizo nywele za kunyoa hiwezi ingia nazo kambini maana zilikuwa kaweka dawa na ni ndefu kwel za kupendeza. Nikamchukua huyoo hadi saloon kwa mudy sharo, pale napo kulikuwa na foleni kdogo, basi nikamuelekeza mudi, nikamuaga mtoto kuwa narud sio mda, nikatoka nikaenda kuweka mafuta shell maana Suma alinambia wese litakata sio muda mnene, basi nkaweka nkapitia kwa zizzou kumpanga kuhusu night itavokuwa.

Nikarudi kwa mtoto saluni nkakuta ananyolewa huku Analia,watu walikuwa si wengi kama watatu tu, mudi akawa anamgombeza kuwa asimitilie uchuro kwa kumlilia pale saluni, nikambembeleza anyamaze anyoe nikamwambia ni bora hapa unanyoa kwa machine kuliko ukifika kule watakunyoa kwa kiwembe cha mkono hivo utaumia zaidi, mtoto akapunguza kulia ila alikuwa anaumia kuona nywele zake zinanyolewa.

Baada ya pale muda ulisonga, mida ya sa 12 jioni tukawa tumeingia magetoni, nikamkaribisha kwa bashasha lote, akawa anacheka tu,
Nikaanza maandalizi ya chakula, kulikuwa na nyama ya mchuz tokea mchana imebaki, (vyombo navyo vichafu vilikuwepo lkn sio vingi na sufuria la ugali niloloweka), ile nyama nikaona isiwe tabu hiyo tutapasha tutakula na ubwabwa,
Nikabandika sufuria kuanza kupika, mtoto akawa anataka kupika nikamwambia tulia usijal,wewe bado mgen na isitoshe umechoka na safari, akatulia, wakti napika akawa ananidadisi tuswali twa hapa na pale, had kufiki kufikia sa mbili na dk zake chakula kilikuwa tayar.tukala vizuri baada ya kumchemshia maji akaenda kuoga, alivyomaliza kuoga nami huyo nikaenda kuoga.

Kufikia mishale ya sa tatu na, nipo kitandani mtoto kagoma kupanda kitandani yupo kwenye kiti kakaa, anasema ananiogopa, nikamwambia kwani mi nang'ata hadi unogope, bembeleza sana kupanda kitandani baadae akaona isiwe tabu akatafakari wema nlomtendea, akatii sheria mwenyewe bila shuruti. Akaja kitandani kila nikigusa anatoa mkono baadae akatulia, akakubali pia nimege na tunda msimu huu wa barid.

Asubuhi pakakucha kwa furaha nikimwangalia mtoto hadi raha. Akenda oga , nikamsindikiza huyo hadi stand, wakati tunaagana akaniomba namba ya simu nikamwambia simu mbovu (kwel kam wiki na simu ilikuwa mbovu) hivyo sipo hewani nikamwambia kule simu hamtaruhusiwa, so Sikh unakuja njoo kwa zizzou mweleze utanipata, basi nikamlipia nauli nikampa twenty akaondoka kwenda kambini, Nina imani keshafika salama.

Nawasilishaa
Kumbe una gari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom