Kweli Daimond Kidume

Kweli Daimond Kidume

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,762
Yaani daimond kawapa wanawake 3 mimba ambao ni mastaa wa east africa nikidume eti.
Kwa manaa ukishampa mwanamke mimba hana ujanja tena nyie nimaisha yenu yote mutakuwa kith kimoja kisa mtoto au watoto.
Hii nikali sana.
Sasa leo nashangaa jambo kamfanyia mudada happybirthday na kana mimba hakaja olewa zari hakuolewa hamisa hakuolewa hamisa kachukua nafasi ya wema angemzalia dah .
Naukishamzalia kwisha anakuacha anaenda kwa mupya yeye ni mimba tu sijui why.
 
Acha jamaa aipeperushe bendera otherwise ni wivu tu..
 
Labda kutokuoa ni moja ya masharti ya kubaki kileleni.
 
Ila atoto ombea nisipate pesa ila wallah nikipata pesa lazima unizalie
 
Back
Top Bottom