Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 8,273
- 25,297
Habari wakuu,
Twende kwenye mada...
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Ni kwamba nimekuwa nikiangalia namna ambavyo vijana wa kiume wa sasa na nimekuwa nikijiuliza maswali mengi...
Utakuta vijana wa kiume hawajitumi katika kufanya kazi kwa bidii ili wajiingizie vipato na badala yake wamekuwa wakijiingiza katika maisha ya ajabu kama kudanga kwa majimama ili wawezeshwe kimaisha.
Wengine wao wanajigeuza kuwa mashoga ili tu wajirahisishe wapate pesa kirahisi.
Yani sikuhizi vijana wa kiume wanafanya mambo ya aibu ili wapate pesa.
Wamesahau kuwa maandiko yanasema "mwanaume atakula kwa jasho".
Ni aibu maana mtoto wa kiume kushindwa kusaka pesa na kusubiri kuletewa na mwanammke.
Nawaza tu miaka ijayo tutakuwa na wanaume wa shoka kweli..
Ni hayo tu...
Karibuni...