CCM Music
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 1,036
- 1,788
Sielewi yaani, nifundisheni kupenda. Naona nipo nipo tu ila wivu ninao.
That degree ya kupenda kwamba hadi na feel eeehhh, naona kama illusion hv, eeeehhh. Ooohhh tunapendana.....lkn sioni reality yake, naona wivu tu na wala sio kupenda. Sijawahi kuona watu wanapendana in reality, naona 'watu wapo kimaslahi tu'
Enewei tufanye hv, nifundisheni kupenda ni kufanyaje. Usiniambie kupeleka mazagazaga, eeehhh kukis, kutomba vizuri, yote hayo nimefanya lkn naona ni illusion tu sio halisi.
Nifundishe wakuu, nataka kupenda.
Ladies & gentlemen!