People go through dry spells in the bedroom for all kinds of reasons. Maybe they’re busy, or maybe they’re single. Or they might just decide they want a break.
If that break goes on long enough...
Mimi ni mwanamke wa miaka 27, sijaolewa ila nina mchumba wangu amabye kashajitambulisha kwetu ametoa mahari na mwezi wa 10 mungu akipenda tutafunga ndoa. Mimi na mchumba wangu tuko vizuri, mimi...
Wakuu,
Nimetokea kumpenda msichana kwa sasa yupo Dar ila nawaza kumuoa ila nahofia mama yake tunajuana tena vizuri lakini hamna undugu.
Nifanyeje nifanikishe?
kipepe JR.
mbele yenu waungwana.
once again!
ebana kwanza niwashukuru waliolianzisha jukwaa hili, kwani ndio walionifanya sasa nimempata 'wife material'
siku chache zilizopita, niliweka bandiko...
Ndugu wanajamvi nimekuwa nikifuatilia nyuzi nyingi katika jukwa letu pendwa la nimegundua kuwa Me wengi wamekuwa wakilalamika suala la kukutana na Wanawake wenyewe tatizo la Kunuka" K" nikaonelea...
Wazee wenzangu haya mambo bwana hayaitaji elimu kwa kweli ni yapo Naturally tu, kwa maana ya kwamba elimu kila siku humu inatolewa tusigawe pesa kwa wanawake ambao si wake zetu lakini mimi...
Daaah naandika kwa majonzi @fundibishoo mimi roho inauma iko hv
Kuna manzi ambae nampigia misele kama week hivi nilikua naenda mtaan kwao kupga rada basi nlikua na washkaji zangu wawili mmoja ndo...
Jamani Leo ni Siku ya saba tangia nikute chupi ya mke wangu chumbani kwa mdogo wangu wa kiume. Nimekaa nalo moyoni naona niwashikirikishe wenzangu nione mnishauri nini.
Ni hivi, ninaishi na mke...
Habari za mida wakuu, pia herini ya mwaka mpya.
Kama kichwa kinavyojielezea, ni mgegedo upi ulokutoa mbali uufate?
Mimi binafsi kuna mwanamke kanitoa Moshi mpka Mikumi kwa ajili ya mgegedo ila...
Mke huyo pichani ameripotiwa kumchoma visu mumewe huyo na kujaribu kumuwekea sumu Kwenye chakula Ili apate nafasi ya kutanua na wanaume wengine nje ya ndoa !
_
Mrembo huyo Kwa jina la Hannan...
Baada ya kitambo kidogo cha kudharauliwa mie mr Zero na ndugu zangu Demiss Viatu vya Samaki katoto kazuri ndege JOHN Na wengine wengi pia na licha ya kumiliki kiwanda changu Adhimu kabisa cha...
Habari wana jukwaa .
Naomba niwashirikishe jambo moja kisha tulipatie jibu lenye uhakika.
Nina shauku ya kufahamu ni yupi mwenye mapenzi ya kweli kati ya mtu mke na mtu mume ?
Ni mara nyingi...
Hili halina ubishi.
Domo zege - mwanaume asiyeweza kutongoza
Wavivu, - nimetumia kwa wanawake wanaojiua kisa wameachwa na wanaowategemea kiuchumi.
Mtu kama unajua kupepeta mdomo na kuimbisha...
Mimi sioni kama Black ni beautiful. Huu msemo uko kama wakujiliwaza kwa watu weusi kujipa moyo lakini ukweli hakuna kitu kizuri cheusi. Vitu vyote vizuri vinavovutia ni nyeupe. Mimi ndio maana...
Wakuu habari zenu, natumai nyote wazma.
Twende kwenye mada
ilikuwa mwaka 2014 nimemaliza chuo nikarudi home.
Sikuwa na kitu cha kufanya kiniingizie kipato kwa hiyo muda wote nilikuwa nalala tu...
Habari wana JF,,
Kumekuwa na utata katika kutofautisha haya mambo mawili yaani kupenda na kutamani kwa sababu mtu anaeza kuact anakupenda kumbe amekutamani na mwingine ukahisi ametamani kumbe...
Kutokana na changamoto za maisha au ugumu wa utafutaji,imepelekea mapenzi ya kweli kupotea.Unaweza kufikiri unapendwa kweli,kumbe unapendwa kwa sababu unalipa bill.Swali la kujiuliza,pale...
Kwa Mujibu wa Adam Grant mwandishi wa kitabu cha “Give and Take” kuna aina kuu tatu za marafiki katika maisha yetu.Na wewe pia unaangukia katika aina mojawapo ya kundi hili kama rafiki wa wengine...
Mtu akiwa kwake anabana matumizi analewa pombe ngumu ngumu ila ukimualika tuu mpate mbili tatu ataanza ohh ntakunywa reds, baada ya chupa nne utaskia mhh yani hizi reds sijiskii kulewa kabisa...
Habari za asubuhi wakuu!
Kama heading inavyojieleza hapo juu, katika tathmini yangu ya muda mrefu kila couple/wapenzi nnaokutana nao au nnaowafahamu ni nadra sana tena sana kukuta mwanamke ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.