Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,637
- 220,408
Kuna wanao kimbia au kukataa watoto. Uzeeni wakiwa na shida ndiyo hutafuta watoto wao.
Kuanzia umri wa miaka mitatu, ubongo wa mtoto unatunza kumbukumbu. Wengi mnakumbuka jinsi mzazi alivyokufundisha kuvaa kiatu cha mguu wa kulia na kushoto, kufunga kamba za viatu, kutandika kitanda, kwa wengine kucheza mpira pamoja au kuendesha baiskeli.
Kwa waliokosa haya kutoka kwa wazazi wengine wali iga mitaani na wengine imewaharibu ki saikolojia mpaka ukubwani.
Ume kaa miaka yote mnaishi kwa biashara ya mama ntilie anaofanya mama. Kuna siku ilibidi akakope kwa viongozi wa dini ili upate kwenda shule au matibabu. Leo hii kuna lizee linakuambia yeye ndiye Baba yako mzazi.