Sijui kama halijenda kufa lile!!?

Sijui kama halijenda kufa lile!!?

Siri ya sifuri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
2,613
Reaction score
2,258
Salaam wakuu? leo nilikua napita kwenye mitaa ya Bonyokwa, nje ya nyumba moja kulikua kumejaa watu wanamshambulia mwizi, bila shaka kila mmoja wetu hapa kipigo cha mwizi anakifaham, kwa bahati yake askari polisi walikua wanapita wakamnusuru. ndani ya ile nyumba kuna kijana shoga anaishi katoka nje na shati lake mkononi, wasichana ambao mwenyewe anaona ndio wenzie wanamuuliza wewe mbona hujampiga mwizi!? "haaaa, akang'aka nimelipiga na mito miwili sijui kama halijenda kufa lile" hadi sasa sijamuelewa anavyojiona, wakuu ushoga mbaya tuwahurumie sana.
 
Unajua hao mashoga mnawalea vibaya ndio maana wanaongezeka, fanya namna kuwapa nao kipigo cha mwizi ili wengine waogope.
 
Hahahaha aisee acheni nicheke Walimwengu.kule kwenye masiasani nimeama toka Jana bora huku kule kumbe wanamtafuta kigogo2014 wakikufananisha2 imekula kwako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom