Kwa wenye uzoefu kwenye ndoa hasa kuwa na mwanamke mnywaji wa pombe, naomba ushauri

pakamwam

JF-Expert Member
May 28, 2013
516
651
habari wanajamvi.
naombeni ushauri kuhusu kuoa mwanamke mnywaji wa pombe.
mimi nimekulia pombe toka utoto lakini nilipfikia miaka kama 14 niliacha mpaka sasa niko zaidi ya 28.
nimekuwa na bahati sijui nzuri au mbaya. wale ninaolenga nikiwauliza hili swali unakuta anakunywa kama sio bia basi ni mvinyo.
kwa mtazamo wangu unywaji ni unywaji uwe wa mvinyo au bia au kibuku au mbege. mvinyo huwa naona kilevi zaidi maana huwa ya chii kabisa ni asilimia 12 alcohol

naomba ushauri kwa wenye uzoefu kuishi na mwanamke mnywaji. mimi naogopo kunywa kabisa maana tunashida ya alchol addcition hasa kwa upande wa ndugu zangu. naogopa kabisa kuonja maana najua ndio nilikotokea, nikianza tena naweza nikawa mlevi kabisa

sijawai kuonja toka niache miaka hiyo.
naombeni ushauri wenu kwa ajili yangu na kwa ajili ya wengine ambao wanakumbana shida hii kama mimi

natanguliza shukrani kwa yoyote atakayechangia au hata kusahihisha ili ujumbe ufike vizuri
 
Hahaha wewe oa mke pombe ni kinywaji kama soda tu. Kama wewe uliacha hata yeye anaweza kuacha siku akiamua. Kwani kuna binadamu kazaliwa anakunywa pombe?! Hizi ni tabia tunajifunza na kuacha. Huyo mke anaweza kuwa mnywaji lakini tabia njema na mkaelewana na life ikawa poa. Unaweza kuoa mlokole ukajuta, akawa na tabia mbaya na za hovyo hadi ukajuta. Mke apimwi ni binadamu anajifunza vitu kilasiku. We unaoa mke hizo tabia mtafunzana huko kwenu.
Mbona kuna wanawake wameolewa na walevi na ndoa zimedumu na maisha safi na wanafuraha na kufurahiana. Usi judge watu, kama mnapendana vuta kitu tulia, mkishindwana mtaachana, mbona hata walokole wanashindwana na wanaachana we unaogopa nini?! Kuna walevi mke mume wanaelewana sanaaa na pia wapo walevi mke mume wasioelewana.
Kuna vyangudoa wameacha uchangu baada ya kuolewa na wapo wanandoa vyangudoa baada ya kuolewa. Binadamu hafugiki, anaelimishika.
Kama huyo mlevi ndiye umempenda muoe mengine uta adjust accordingly. Nina rafiki mama anakunywa baba hanywi na wako safi tu, na hawagombani. Mke akitoka kazini anamsubiria mumewe bar anakunywa, mume anampitia wanaondoka.
Kila la kheri mkuu.
 
Download TALA app

Hii ni njia bora ya kupata mkopo wa papo hapo!

Tumia namba ya mualiko 1JG1PN6.

Pata mkopo sasa: install app kwa link hii http://inv.re/79pcu

Kwenye sehemu ya promo code/referal code weka hii 1JG1PN6

Unawezeshwa kianzio cha elfu hamsini

Tumia mualiko uanze na mkopo wa elfu hamsini

Masharti ya malipo kuzingatiwa

MKOPO WA HARAKA KUPITIA TALA MPAKA 500,000/=
Akili unazo?
 
Kama huyo mlevi ndiye umempenda muoe mengine utaadjust accordingly. Nina rafiki mama anakunywa baba hanywi na wako safi tu, na hawagombani. Mke akitoka kazini anamsubiria mumewe bar anakunywa, mume anampitia wanaondoka.
Kila la kheri mkuu.
mh sawa mkuu. ushauri nimeupata kweli.
 
Download TALA app

Hii ni njia bora ya kupata mkopo wa papo hapo!

Tumia namba ya mualiko 1JG1PN6.

Pata mkopo sasa: install app kwa link hii http://inv.re/79pcu

Kwenye sehemu ya promo code/referal code weka hii 1JG1PN6

Unawezeshwa kianzio cha elfu hamsini

Tumia mualiko uanze na mkopo wa elfu hamsini

Masharti ya malipo kuzingatiwa

MKOPO WA HARAKA KUPITIA TALA MPAKA 500,000/=
Naona ujinga wa Instagram unataka kuhamia huku.!
 
habari wanajamvi.
naombeni ushauri kuhusu kuoa mwanamke mnywaji wa pombe.
mimi nimekulia pombe toka utoto lakini nilipfikia miaka kama 14 niliacha mpaka sasa niko zaidi ya 28.
nimekuwa na bahati sijui nzuri au mbaya. wale ninaolenga nikiwauliza hili swali unakuta anakunywa kama sio bia basi ni mvinyo.
kwa mtazamo wangu unywaji ni unywaji uwe wa mvinyo au bia au kibuku au mbege. mvinyo huwa naona kilevi zaidi maana huwa ya chii kabisa ni asilimia 12 alcohol

naomba ushauri kwa wenye uzoefu kuishi na mwanamke mnywaji. mimi naogopo kunywa kabisa maana tunashida ya alchol addcition hasa kwa upande wa ndugu zangu. naogopa kabisa kuonja maana najua ndio nilikotokea, nikianza tena naweza nikawa mlevi kabisa

sijawai kuonja toka niache miaka hiyo.
naombeni ushauri wenu kwa ajili yangu na kwa ajili ya wengine ambao wanakumbana shida hii kama mimi

natanguliza shukrani kwa yoyote atakayechangia au hata kusahihisha ili ujumbe ufike vizuri
utafiti wa madokta nguli ni kwamba mwanamke akinywa pole ile 12alcohol yote inakimbilia kwenye main switch
 
Hahaha wewe oa mke pombe ni kinywaji kama soda tu. Kama wewe uliacha hata yeye anaweza kuacha siku akiamua. Kwani kuna binadamu kazaliwa anakunywa pombe?! Hizi ni tabia tunajifunza na kuacha. Huyo mke anaweza kuwa mnywaji lakini tabia njema na mkaelewana na life ikawa poa. Unaweza kuoa mlokole ukajuta, akawa na tabia mbaya na za hovyo hadi ukajuta. Mke apimwi ni binadamu anajifunza vitu kilasiku. We unaoa mke hizo tabia mtafunzana huko kwenu.
Mbona kuna wanawake wameolewa na walevi na ndoa zimedumu na maisha safi na wanafuraha na kufurahiana. Usi judge watu, kama mnapendana vuta kitu tulia, mkishindwana mtaachana, mbona hata walokole wanashindwana na wanaachana we unaogopa nini?! Kuna walevi mke mume wanaelewana sanaaa na pia wapo walevi mke mume wasioelewana.
Kuna vyangudoa wameacha uchangu baada ya kuolewa na wapo wanandoa vyangudoa baada ya kuolewa. Binadamu hafugiki, anaelimishika.
Kama huyo mlevi ndiye umempenda muoe mengine uta adjust accordingly. Nina rafiki mama anakunywa baba hanywi na wako safi tu, na hawagombani. Mke akitoka kazini anamsubiria mumewe bar anakunywa, mume anampitia wanaondoka.
Kila la kheri mkuu.
HAHA SAWA SAWA NDUGU. ILA NATAKA KUONGEZA JAMBO KUWA UKIACHANA NA UNYWAJI KUWA NI TABIA TU NA MTU ANAWEZA KUACHA MDA WOWOTE ILA KUNA JAMBO LA ULIMBUKENI KWENYE JAMII ZETU. YAANI KAMA MTU AMESHAJIHARIBU KIFIKRA KUWA NA HALI FULANI KWENYE MAISHA YAKE KUTOKANA NA MAISHA ALIYOPITIA KATIKA CHANGAMOTO FULANI HUKO NYUMA BASI ITAMGHARIMU SANA.
 
Back
Top Bottom