Natumai hii meseji ulikuwa unachati na shoga yako ila umekosea ukaituma huku.Akiolewa anatulia tuliiiii! Utadhania hata siyo yeye.
Mwanaume sasa! Loooh! Unakuta mkaka mtulivu ka vile ana undugu na mitume, ngoja aoe, sijui wanakutaga nini huko ambacho hawakukijua! Anaanza kupurura mara huku mara kule hatulii.
Nini shida?
Akiolewa anatulia tuliiiii! Utadhania hata siyo yeye.