Dada unang'ang'ania kuolewa, una cheti cha kuzaliwa?

e7aa8e788cd9dc7f9af8a0d3ca9e49fd.jpg
 
Watu bwana.. Akili za usiku hizi..

Kwahiyo cheti cha kuzaliwa kinahusiana na ndoa kivipi? Au wanaogopa Watanzania kuoa/kuolewa na Alliens?

Maana ukiolewa/kuoa mtu asiye na cheti itaonekana umeoa allien.. Mtu ambaye ni kama jitu fulani ambalo halikuzaliwa yani limedondoka tu huko angani.

Kwamaana kama hauna cheti cha kuzaliwa ina maana wewe hukuzaliwa ulidondoka tu kutoka mawinguni huko hivyo una qualify kuwa allien
 
Hapa wamekurupuka kama kawaida yao

Sasa kwa wale wanaoolewa ndoa za kimila itakuwaje?

Halafu sidhani kama ndoa za kiislamu zinahusisha mambo ya vyeti
 
Mmhh ngoja nianze kutafta cheti ili nisimsumbue tutakae oana nae
 
Waziri mwakyembe amesema Bila cheti hakuna ndoa.
Wee jamaa ww,.daah!!! Kwani mwakyembe kasema vyeti hivyo ni kwa kina Dada tuu ama!??kwamba Dada acpokuwa Na cheti cha kuzaliwa haoleki au hata kaka nae acpokuwa nacho haoi??auuuu????

Acha bhana ushabiki maandazi!!!!!
 
Back
Top Bottom