Mwanamke na kufika kileleni

Aunty Lao

JF-Expert Member
Jul 7, 2008
214
17
Za leo wandugu, hivi nini maana ya mtu kufika kileleni (orgasm) na hisi kama vile sijaipata au siielewi.
 
ahahahahahaaaa....huko ndiko nilikuwa naelekea.....

pole pole atakuja kuelewa tu.....

sidhani kama ana access, asingeuliza... ngoja tusubirie ajibu swali lako la mwanzo ndiyo tumwekee hapa. Sidhani kama inahitaji explanation ndeefu kimaandishi wakati maelezo kwa vision yanatosheleza.
 
Za leo wandugu, hivi nini maana ya mtu kufika kileleni (orgasm) na hisi kama vile sijaipata au siielewi.

Lorain

labda ni hiyo hali ya ujauzito. Postnatal tutaongea kule ingawa bado Invisible anaweka usiku, naona hapa uzushi umeanza. Kila la heri.
 
Last edited by a moderator:
Lorain

labda ni hiyo hali ya ujauzito. Postnatal tutaongea kule ingawa bado Invisible anaweka usiku, naona hapa uzushi umeanza. Kila la heri.

Mama, waachie wanao watoe maelezo kwa Lorain, yatatosheleza tu. Usiwe na shaka, tutamwelekeza ipasavyo... tatizo hajajibu swali la Nyani la kwanza. :)
 
Asante mama, ila sio kwamba eti nina mimba, No. ni kwamba i have a feeling i dont know the whole thing what it is.
 
Why dawg??!

That's completely uncalled for man. Please.

SteveD.
 
Last edited by a moderator:
Asante mama, ila sio kwamba eti nina mimba, No. ni kwamba i have a feeling i dont know the whole thing what it is.

Kule tulipokuwa tunadiscuss postnatal care siyo kwa ajili yako sio? sikujua. Vijana hao watakusaidia.
 
I am a woman of 31 years old. Nilibikiriwa when I was 24 yrs old. So am afraid i dont know orgasm.

Thank you for answering the question. I can direct you literary on how and what it is 'kileleni', but this would take ages with lots of graphic transcriptions to achieve. But since you have cleared the first question, may I now ask you whether you have access kwenye jukwaa la 'mambo ya kikubwa' or not?!
 
Thank you for answering the question. I can directly you literary on how and what it is 'kileleni', but this would take ages with lots of graphic transcriptions to achieve. But since you have cleared the first question, may I now ask you whether you have access kwenye jukwaa la 'mambo ya kikubwa' or not?!

Nah mayn...you are skipping some very critical questions.....
 
ukipata nafasi pita sebuleni kwangu utaona vituko anavyonifanyia rafiki yako.

Nimepitia Mama. Pole sana. Inashangaza na kusikitisha kwa namna yake. Kuna some sense of incest inakuwa felt pale mtu unaye mconsider kama mtoto anaongea mambo kama hayo, hata kama tuko mtandaoni na haswa pale at some point between your interactions amekubali au ame acknowledge kuwa wewe u-mama yetu. Kwa vile tuko mtandaoni, i think just delete them or point them to Mods or Admin for moderation since you seem inflicted na comment hizo.

Nyani Ngabu: Please nakuomba uache kumbughudhi mama.

yeye ndio aliniambia kama nina ujumbe kwake niende huko...sasa analalama eti nambugudhi....huyu mama mimi simwelewe. oh well...sio kosa lake.....juzi alinambia ana mimba ya miezi mitatu...kwa usikute mi hormone yake iko out of whack!!!!!!!!!!!!
 
Nimepitia Mama. Pole sana. Inashangaza na kusikitisha kwa namna yake. Kuna some sense of incest inakuwa felt pale mtu unaye mconsider kama mtoto anaongea mambo kama hayo, hata kama tuko mtandaoni na haswa pale at some point between your interactions amekubali au ame acknowledge kuwa wewe u-mama yetu. Kwa vile tuko mtandaoni, i think just delete them or point them to Mods or Admin for moderation since you seem inflicted na comment hizo.

Nyani Ngabu: Please nakuomba uache kumbughudhi mama.

SteveD.

Nimemkemea kwake, nadhani ataacha. Mwambie rafiki yako kuwa I am not here to play games, at least with him.
 
Nah mayn...you are skipping some very critical questions.....

...true that, hapo nime jump gun... inabidi kumpelekesha polepole... step by step, lol

----------------**-----------------------

NN, seriously on this: Kwanini lakini unambugudhi Mama kiaina hiyo?!
 
Asante mama, ila sio kwamba eti nina mimba, No. ni kwamba i have a feeling i dont know the whole thing what it is.

Kweli Lorain hujafika huko kileleni ungekuwa umeshafika basi wala usingeuliza. Katika kuuliza uliza kwangu ;) nikashangazwa na wanawake wote wanasema kitu kile kile ni kwamba hujisikia kama 'wanapaa' na kuwa katika dunia nyingine kabisa halafu wako wale ambao wenye bahati ambao wanapata multiple orgasm ambayo huchukua kati ya 90 seconds na 120 seconds hawa huwa kama wanapagawa kabisa. Masexiologists baada ya kuangalia live na kwenye camera wanaume na wanawake walipokuwa wanafika kileleni walihitimisha kwamba wanawake wanaenjoy zaidi tendo la ndoa kuliko wanaume, sijui hili lina ukweli kiasi gani.
 
Back
Top Bottom