Esrom makono
Senior Member
- May 11, 2019
- 121
- 76
Wajumbe habari zenu.nimekua nikichungulia kwenye forum hii kwa siku kadhaa na nimepatwa na mtikisiko wa mawazo kutokana na neno kugegeda.hivi hili neno Lina maana gani? Maana Kuna muda nahisi ni Bata dume ambae anaitwa gegedu.huenda Ni typing error ya mwandishi Cha ajabu kila nikichungulia humu nazidi kukutana nalo.kugegeda Ni Nini hichi??