Hapo vip!!
Jana katika pitapita zangu, niliwasikia wazee fulani, wakizungumzia kuhusu kupigwa na Mwanamke Kwa kutumia chupi,wazee wanasema sio nzuri kwa mwanaume!!
Ila sijawaelewa Sana kwa...
Yeeraa inakua aje asee ma'raia wa humu ndichi.?Natumai mko full ile kibingwa...Anyways back 2 e' point..Mwezi huu wa 7(July)baada ya kufunga chuo nilipotimba home Dingilii akaniagiza nisololoe...
Usiogope mimi nipo njia panda ila kama wewe upo single na una wish kuwa na kitu amazing tuambie Vijana na wasichana.
Huu ndio muda wakushuka shukeni.
Mtu ashuke tu mimi nipo single na ningependa...
Anaandika Leonard Chakupewa Jr.
+255 763-039-706
Ni hatari sana kuishi na watu ambao katika kila kitu unachosema, wao ni kuunga mkono tu. Hata siku moja husikii wanabisha au kupendekeza kitu...
Habari wana JF..rejea kichwa cha habari hapo juu,mimi ni mdada/ mwanmke wa chini ya miaka50[emoji16]ilikuwa mwaka jana nilipomaliza elimu ya kidato cha( ) sasa baada ya kumaliza shule tulienda...
Wakuu, leo ningependa tujadili juu ya huyu mlezi asie na bahati mbele ya jamii. (mama wa kambo)imekua ni nadra sana kwa jamii ama mtu mmojammoja kuonesha heshima au kuwa na shukrani kwa huduma ya...
Habari wanaJf.
Binafsi naishi Dsm japo si mzaliwa wa Dsm ila ni katika utafutaji na muda mwingi nimekuwa Dsm ..
Ila kwa bahati mtandao wa Jf umenisaidia sana kupata maarifa mengi zaidi ya...
Habari wana jf....
Hivi kwanini mahusiano mengi huwa hayatimizi malengo yake? mfano unakuta watu wamekaa katika uchumba zaidi ya 6,7,8,10+ lakini hawaoani ...Unakuta me/ke anakuja kuolewa na mtu...
Habari wana Jamvi, Asalam Aleykum, Bwana ni mwema, Tumsifu yesu kristu
Napenda kuleta kwenu uzi huu ili mnaotafuta wachumba humu na wachumba mbaotafutwa mlifahamu mapema hili.
IKO HIVI...
Habari zenu wanajamvi, nina rafiki yangu ana boyfrend wake, hawajafika stage yyte ya ndoa ndio wana mpango wa kutambulishana hivi karibuni ila kinachomtatiza bi dada ni mipango ya huyu kijana...
Yan mwanaume mwenzio anaweka Uzi wake anatafuta maybe rafiki ...chakushangaza wanaoponda n wanaume pia tena mshaanza kutumia viwembe...
...nlitegemea kuona wanawake wakikoment na hata kama n...
Habari wana Jamvi, Asalam Aleykum, Bwana ni mwema, Tumsifu yesu kristu
Napenda kuleta kwenu uzi huu ili mnaotafuta wachumba humu na wachumba mbaotafutwa mlifahamu mapema hili.
IKO HIVI...
Naanza na wakina dada
1. Kama bado una rangi ya asili hususani nyeusi usikubali kujichubua, usikubali kabisa maana ipo siku utagundua umeiondoa rangi iliyokufaa sana lakini hutaweza kuwa nayo...
Huyu demu simuelewi kila nikiwa nambandua analalamika jicho linamuwasha anataka nimkune ,nikamwambia twende hospitali ya macho tukacheki tatizo ananuna na akasema hanitaki tena kwa sababu sio...
Kama kichwa cha habari hapo juu.
Nimekuwa katika mahusiano na binti fulani toka mkoa flani hivi takribani mwaka wa pili sasa. Toka akiwa form three tulianza mahusiano japo hatukuweza kuonana mara...
Hello guys
Kuna mdada mmoja nilimtongoza, akacheka kidogo hlf akaniambia kuwa atanipa jibu, kweli siku chache baadae nlivomfuata akaniambia kuwa amekubali..na sikutumia pesa yoyote /au...
1,Umri wa miaka 18 hadi 21,huwa hawapendi ngono,wanapenda mahusiano au mapenzi ambayo ngono huchukua nafasi ndogo sana
2,Umri wa miaka 22 hadi 29,hupenda waolewe,wanapenda waishi kwenye mahusiano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.