Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,992
- 5,609
Hapo vip!!
Jana katika pitapita zangu, niliwasikia wazee fulani, wakizungumzia kuhusu kupigwa na Mwanamke Kwa kutumia chupi,wazee wanasema sio nzuri kwa mwanaume!!
Ila sijawaelewa Sana kwa sababu nilikuwa na haraka Sana!!
Humu najua kuna watu wamepigwa Sana,pia kuna watu wanajua na wana imani na vitu Kama hivyo.. Embu tuambie kuna ukweli kama hawa wazee walivyokuwa wanazungumza.