HII INAWAHUSU WANAWAKE WOTE MNAOTAFUTA KUOLEWA

Konzo Ikweta

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
735
1,464
Habari wana Jamvi, Asalam Aleykum, Bwana ni mwema, Tumsifu yesu kristu

Napenda kuleta kwenu uzi huu ili mnaotafuta wachumba humu na wachumba mbaotafutwa mlifahamu mapema hili.

IKO HIVI UZURI WA MWANAMKE UTACHANGIA KWA KIASI KIKUBWA KUOLEWA ILA TABIA YAKE NDO ITAYOAMUA NI MUDA GANI ATADUMU KWENYE NDOA.

Karibuni kwa maoni na ushauri kwa wale wanaotafuta wachumba!
Regards
 
Sure Kuna ka ukweli Bro!!!

hasa kizazi hiki Cha wazinzi!!!
 
Waache watoto wazuri waje kwangu maana ufalme wa mapenzi uko juu yao lazima uzima wa mahusiano yapo moyoni mwangu
 
Utasikia nataka mwanaume mwenye hela! Hebu jiulize baba yako anazo? Wewe mwenyewe hata biashara ya mtaji wa laki 5 hauna, kwa hiyo unategemea matako na sura upate mwanaume mwenye hela!

Ukimwambia njoo tuonane somewhere saa sita, atakuja saa sita na nusu au saba. Alafu haji peke yake anakuja na mwenzake.

Kwa mtindo huo unataka mwanaume anayejielewa. Utampata wapi?

Ukitaka mwanaume mwenye hela na wewe tafuta zako kwanza! Ukitaka mwanaume anayejielewa na wewe anza kujielewa
 
Au hata yeye mwenyewe anazo? Wana mambo sana hawa
 
Back
Top Bottom